mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
- Thread starter
- #141
habari za siku tele !
Hili suala ni kubwa sana mayai bwege ni hatari sana kwa watoto chocolate manukato ni hatari zaidi wewe huja wahi Kutana na manukato yaka kuletea kamsisimko! Taifa limekwisha hili siku hizi bar wanawake wengi wasagaji na wanaume wengi ni Mabwege !
Ni kweli mkuu
Mimi natamani vijana na kila mwenye uwezo wa kuzaa atambue kwamba kulea ni jukumu kubwa. Na kama huna utayari wa kulea inavyopasa usizae maana ni kutesa watoto na jamii kwani hata mashoga na wasagaji wengi wa miaka hii sio matokeo ya asili ila ni matokeo ya makuzi.