Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Ni fedheha sana kwa familia. Watu aina ya Milembe wanatakiwa kukemewa sana, laa sivyo tutakuwa na Taifa lililojaa ufedhuri mwingi.
 
Nilimaanisha kwamba ipo siku nami nitakua mzazi so nichunge ulimi wangu. Sio kwamba kuna mtu ananizalia soo, unless unisaidie Katika hilo. Mwakani mambo yajipe
Sawa,bas nilielewa tofauti.Asante kwa kuja
 
Masuala ya usagaji na ushoga ni roho kama roho nyingine. Wahusika wameingia kwa kufuata process na hivyo pia hata kutoka kwao ni process. Ukiwauliza waliingiaje hawajui ila watakwambia tu walijikuta. Ni vita ambayo unaweza ukapigana na watu usiowajua. Marehemu alijulikana kwa sababu ya video ili treand achilia mbali alikuwa na ukwasi. Je, ni wangapi tusiowajua ? Maana wapo kila sekta wanawachoro tu na kushangaa tunapgana vita tusiyoijua.

Lazima twende na hili suala kwa sura mbili. Mosi, Control Variables na Mbili, Treat Variables. Na mwisho wazungu wametuzidi akili mbali hata hiyo mikataba ya mashirika tukipewa tuisome huwezi kuing'amua ni wapi wanakulazimisha ukubali iko technical saana. Wanakwambia tutasambaza lubricants n.k

Tuamke Watanzania!!
 
“Aonywaye mara nyingi akishupaza shingo, Atavunjika ghafula, wala hapati dawa. Apendaye hekima humfurahisha babaye; Bali ashikamanaye na makahaba hutapanya mali.”
‭‭Mit‬ ‭29‬:‭1‬, ‭3‬ ‭SUV‬‬

Amevuna alichopanda, kwa wakati. Baba aendelee kumuomba Mungu wake amjalie maisha marefu, imeisha hiyo!
 
Mzee ameongea Kwa uchungu sana
Pole sana Kwa huyo mzee
 
Fafanua mkuu
habari za siku tele !
Hili suala ni kubwa sana mayai bwege ni hatari sana kwa watoto chocolate manukato ni hatari zaidi wewe huja wahi Kutana na manukato yaka kuletea kamsisimko! Taifa limekwisha hili siku hizi bar wanawake wengi wasagaji na wanaume wengi ni Mabwege !
 
Back
Top Bottom