Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

mama D

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
19,981
Reaction score
35,581
Mungu simama nasi, lea nasi baba, tunusuru na hili janga sisi na vizazi vyetu🙏



Viatu vya huyu baba havinitoshi
===
Marehemu Milembe Suleiman ambaye miaka kadhaa iliyopita alitrend mitandaoni kwa kumvisha pete mwanamke mwenzake ikiashiria anajihusisha na vitendo vya kisagaji, baba yake amezungumza kuhusu tukuio hilo.

Baba huyo amesema baada ya kuona video hiyo walimpinga vikali na kumuasa kuacha mienendo hiyo. Watu wa familia yake ikiwemo wanaye wote walimuona Milembe kuwa ni mtu aliyekengeuka.

Milembe Suleimani aliuawa na kukatwa viungo vyake.

Pia soma TANZIA - Afisa Ugavi wa mgodi wa Geita, Milembe Suleiman auawa na viganja vyake kukatwa
 
Back
Top Bottom