Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Baba mzazi wa marehemu Milembe Suleman aongea mazito

Duh
Wewe nishangae tu, lakini huo ndo msimamo wangu. Nikigundua mwanangu ni shoga au msagaji mahusiano yanavunjika, na nikipata chance namuua tu maana ni fedheha kwangu. Kama baba mzazi wa mwanamuziki wa Marekani Marvin Gay alimuua mwanae, na hakujutia kosa hilo, unafikiri wazazi wa namna hiyo tumeisha duniani?
Yaani badala ya kumsaidia aache wewe unaona suluhu ni kuua? Aisee.
 
Hii nchi watu wote wangejua na msimamo wa watu wa Kanda ya Ziwa huu upuuzi wa upinde ungeshatokomezwa kitambo. Hongereni sana Geita kwa kumfundisha adabu Mpumbavu mmoja.
Hakuuwawa sababu ni msagaji ni mambo ya kikazi.

By the way unaowapa hongera wamekamatwa.... wakipelekwa mahakamani natumaini utawalipia mwanasheria!!

Sio kelele Mitandaoni alafu tukienda field unajificha chini ya uvungu.
 
Shenzi kabisa na haya ni mawazo ya kishetani na kichawi usijifanye msomi vyeti ukadharau wazazi nguruwe wewe ht maandiko ktk amri 10 yamezungumza khs wazazi mpuuz wewe huna akili bila Mungu wewe ni bichwa maji na wakala wa pepo
Nadhani unajua humu jamvini Kuna machoko lazima watafurahi ubazazi wa mwenzao
 
Namhurumia sana mtoto wa Irine Uwoya.Mafirauni wataml tuuu
Hili ni dua baya sana kwa mtoto wa mwenzio vaa uhalisia kwamba mtu awaze baya litakalomtokea mwanao, kuwaza sio mbaya ila kuwaza kwa sauti ni kubaya sana, M'mungu amlinde huyo mtoto hana makosa na mtu bado mdogo, ni chuki za binadam ambazo husababishwa na wivu. Usisahau karma hujirudia hayo yote yanaweza kukurudia wewe.
 
Ukiwa na mtoto kama Milembe njia pekee ya kupumzika ni siku roho yake ikiachana na mwili laa sivyo atakufanya uishi kwa fedheha
Mzee nae alizingua sasa mtoto wako tena unamkanya kwa ujinga kama huo? Hapa ndio napo wapendea taliban, huyu ni kuchinjalia mbali mapemaaa wala hamna longo longo
 
Shenzi kabisa na haya ni mawazo ya kishetani na kichawi usijifanye msomi vyeti ukadharau wazazi nguruwe wewe ht maandiko ktk amri 10 yamezungumza khs wazazi mpuuz wewe huna akili bila Mungu wewe ni bichwa maji na wakala wa pepo
Unatumia andiko lipi kutukana mkuu?
 
Hakika...maana watoto wa Will Smith malezi gani wamekosa pale...lakini bado wamegawana majukumu mmoja shoga Mwingine msagaji
Inasikitisha sana.. yaani ni kuomba Mungu tu. Lakini nilishtushwa pale mke wa Smith alipo chukujua kijana mdogo kama mpenzi wake.. Na yule ndio mama wa familia.
 
Inasikitisha sana.. yaani ni kuomba Mungu tu. Lakini nilishtushwa pale mke wa Smith alipo chukujua kijana mdogo kama mpenzi wake.. Na yule ndio mama wa familia.
🤣🤣🤣Hiyo nayo changamoto 🤔
 
Mzee pole kila mtu anaishi anavyotaka.
Kabisaaa, kila mtu anastarehe yake so cha msingi ni kutokela mtu. Mimi mwenyewe nina starehe yangu, naona tu comments za watu ila mioyo yao imejaa siri nyingi
 
Kuna MTU Leo kasema watoto wanaolelewa na singlemoms ndo huishia kuwa mashoga na wasagaji.Sikuzote jibu langu kwa ajionae yupo perfect na mie ni mdhambi ni "sawa Mkuu"
Sio kweli, single moms kwanza wanalea watoto wao kwa umakini sanaaa, habari za ushoga au usagaji ni hisia za mtu mwenyewe, homoni au back exprience kama mtu alishafanyiwa akiwa mdogo, na wakati mwingine ni maumbile tuuuu. Natamani nielezee lakini ngoja niishie hapa, hawa single MOMS muwaache wanapambana sana tena wengine wanatelekezwa na ninyi wanaume alafu watoto wakikua mnajidai mnawatafuta shenzi kabisaaa
 
Ndiyo hivyo, huwezi mzuia mtu kutoa maoni anayojisikia mkuu
 
Back
Top Bottom