TANZIA Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia

Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Kaka mbona hivyo maneno yamekutoka???
 
Mfano Ben Mkapa,jina la Mkapa lilikuwa jina la upande wa mama yake
Bernad Membe nae jina la Membe ni la upande wa mama yake
Baba mzazi wa mkapa alikua akiitwa nani, nikuambie ndugu yangu acha kuzania, mimi nimeishi Nachingwea miaka 16, Siwezi kanusha juu ya mkapa kuitwa ubini wa mama yake maana Sina ushahidi. ila jamii ya kimakua, ambalo ndo kabila la mkapa, nimeishi nao, sikusika watoto wao wakiitwa ubini wa mama.

Nachingwea, wenye mji ule, ni wamwera, ambalo ni kabila la Membe, miaka yote 16 Nach, sikuona wazazi hata waliokua jirani zangu, watoto wao wakiitwa kwa ubini wa mama.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Covid-19

Lets call spade a spade

Halafu anaitwa Ndunguru,akina Jokate yalivyo malimbukeni hayatumii jina Ndunguru sababu limekaa kienyeji na ni la mkoa wa kusini asilia

Mabishoo haya matoto,ndio maana ni ma failure

U-DC na sijui motivational speaker and other nonsenses ni ma-failure matupu..

Hayana respect with where they come from,with their origins,ubishoo umeyajaa haya matoto

Yameniudhi sana haya matoto,hovyo kabisa!
Mungu wangu! Umepata hasira kwa yasiyokuhusu adi nakuhurumia pole sana😫😫
 
Kusini huko hutumia matrilinial ,ukoo ni kwa mama ,hata mkapa na membe ni majina ya ujombani
Hivi hii habari mnaitoaga wapi, mtoto aliezaliwa nje ya ndoa, alafu Baba akamkataa, ndiye mama anaweza kuamua kumuita kwa ubini wa kwao, siyo kwa kila mtoto.
Tusiandika vitu vya kusadikika wakati siku hizi wanasema Dunia ni kijiji hivyo Tanzania ni kama Kitongoji tu.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Aisee..! Yatakuwa Makabila ya ajabu sana hayo.
Mkuu una uhakika 100% yule unae muita baba yako ni baba wa damu moja na wewe?

Je baba wote wana uhakika watoto waliozaliwa na wenza wao na kuambiwa hao ni watoto wao wa damu, kweli ni watoto wao?

Heshimu tamaduni za watu.
 
Mimi mtu anaejifanya jamii ingine anaacha kuenzi jamii yake personally hua anatibua vuzi za hizi pumbu zangu

I dont hold back,lazima niwachape nao!

Hivi inakuaje mtu unajikausha kabisa una-bypass who you really are and where you really came from kwa sababu za kibishoo namna hii?
Tusiwalaumu sana hawa akina Jokate kutumia surname ya Mwogelo labda ni maamuzi ya wazai wao. Kikubwa ni kujua kwa nini Jokate anatumia surname ya Mwogelo badala Ndunguru. Yawezekana baba yao mzazi ndiye alitumia jina la kwao na mama yeke hivyo hakupenda watoto wake aendelee kutumia jina la kwao na mama yake lazima kuna sababu. NI mtazamo tu.
 
Baba mzazi wa mkapa alikua akiitwa nani, nikuambie ndugu yangu acha kuzania, mimi nimeishi Nachingwea miaka 16, Siwezi kanusha juu ya mkapa kuitwa ubini wa mama yake maana Sina ushahidi. ila jamii ya kimakua, ambalo ndo kabila la mkapa, nimeishi nao, sikusika watoto wao wakiitwa ubini wa mama.

Nachingwea, wenye mji ule, ni wamwera, ambalo ni kabila la Membe, miaka yote 16 Nach, sikuona wazazi hata waliokua jirani zangu, watoto wao wakiitwa kwa ubini wa mama.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Kuishi Nachingwea hakuhalalishi unayoongea inategemea interest yako ni nini ,mimi pia nimeishi Mtwara,Lindi & Nachingwea (Chemchem,Farm 17 i hope unapafahamu)

Soma hizo biography za Mkapa na Membe

WASIFU WA BERNARD KAMILIUS MEMBE

Mkapa Biography
 
Huyu mzee watoto wake wote Wana surname tofauti nadhani hata Constantine Magavila ni mtoto wa huyu mzee
Niliwahi kusikia kwamba watoto wa huyu mzee walikuwa hawatumii jina la ukoo (Ndunguru) ila walikuwa wanatumia majina yao waliyopewa kama huyo Costantine Magavila (Constantine na Magavila yote ni yake aliyopewa alipozaliwa) ( Mwingine ni Martine Kolikoli , Martine na kolikoli yote ni yake hakuna jina la ukoo hapo) Jokate na mwegelo yote ni ya huyo jokate hakuna la ukoo hapo sababu ni kwamba huyo mzee alisema watumie majina yao tu bila jina la ukoo ili kama ukishafua jina lako kwa maisha utakayoishi basi uchafuke mwenyewe usiharibu jina la ukoo mzima
 
Baba mzazi wa mkapa alikua akiitwa nani, nikuambie ndugu yangu acha kuzania, mimi nimeishi Nachingwea miaka 16, Siwezi kanusha juu ya mkapa kuitwa ubini wa mama yake maana Sina ushahidi. ila jamii ya kimakua, ambalo ndo kabila la mkapa, nimeishi nao, sikusika watoto wao wakiitwa ubini wa mama.

Nachingwea, wenye mji ule, ni wamwera, ambalo ni kabila la Membe, miaka yote 16 Nach, sikuona wazazi hata waliokua jirani zangu, watoto wao wakiitwa kwa ubini wa mama.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
Miaka hii wengi wanatumia majina ya upande wa baba lakini zamani hao makabila yote ya kusini walitumia ubini wa mama kwenye vyeti au kijitambulisha koo zao, isipokuwa wamakuwa hutumia ubini na ukoo wa baba.

Narudia tena, wamakuwa kabila ya Hayati Benjamin Mkapa ndiyo Kabila pekee mikoa ya Lindi na Mtwara wanatumia ubini upande wa baba.
 
Mimi mtu anaejifanya jamii ingine anaacha kuenzi jamii yake personally hua anatibua vuzi za hizi pumbu zangu

I dont hold back,lazima niwachape nao!

Hivi inakuaje mtu unajikausha kabisa una-bypass who you really are and where you really came from kwa sababu za kibishoo namna hii?
Una uhakika ilo mwegelo marehem mzee Costa halijui? Ama hili mwegelo ivi ni la kizungu ee
 
Hivi hii habari mnaitoaga wapi, mtoto aliezaliwa nje ya ndoa, alafu Baba akamkataa, ndiye mama anaweza kuamua kumuita kwa ubini wa kwao, siyo kwa kila mtoto.
Tusiandika vitu vya kusadikika wakati siku hizi wanasema Dunia ni kijiji hivyo Tanzania ni kama Kitongoji tu.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
So mkapa na membe walizaliwa nje ya ndoa,soma kitabu cha mkapa kaelezea vizuri
 
Back
Top Bottom