Baba mzazi wa mkapa alikua akiitwa nani, nikuambie ndugu yangu acha kuzania, mimi nimeishi Nachingwea miaka 16, Siwezi kanusha juu ya mkapa kuitwa ubini wa mama yake maana Sina ushahidi. ila jamii ya kimakua, ambalo ndo kabila la mkapa, nimeishi nao, sikusika watoto wao wakiitwa ubini wa mama.
Nachingwea, wenye mji ule, ni wamwera, ambalo ni kabila la Membe, miaka yote 16 Nach, sikuona wazazi hata waliokua jirani zangu, watoto wao wakiitwa kwa ubini wa mama.
Sent from my SM-A307FN using
JamiiForums mobile app