Baba niruhusu nizae

Namuonea huruma sana huyo mwanangu
 
nawe huijui hiyo mbinu..?
yani hapo mdada anajipatisha mimba kwa huyo mshikaji halafu baadae ndo mshikaji anabanwa mbavu!, sasa swala la kumuoa ama kutomuoa inategemea na jamaa akikubali sawa akiwa na kichwa kigumu hataoa, atakuwa tu baba
Hapana huyo mwanangu hana mbinu
 
Changamoto kubwa sana katika hiyo hali ni pale mwili unapohitaji mapenzi, maana hata ukae miaka lakini Kuna wakati unajikuta mwili unadai haki yake ya ndoa. Kudombwa na wanaume tofauti tofauti Kuna mwisho wake....umri unakataa unahitaji kuwa na mmoja wa Kila wakati.

Wanawake mna mitihani yenu mikubwa !
 
Je! Amejaribu kuongea na makasisi wake wamuombee?
 
Hautaki mtoto wa pili?
 
Mabinti wengi wanakitembeza sana aisee. Ni warahisi kuvuliwa vyupi, kila akiwa na mtu basi lazima avuliwe kyupi. Hata mahusiano yadumu mwezi tu, tayari mtu ashashenyentwa..

Mti wa namna hii kupata ndoa inakuaga mtihani sana.
 
Umemtupia majini au sio πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‚πŸ‚πŸ‚ unataka umle mwenyewe na uzae nae 🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…