Dadakidoti
JF-Expert Member
- Jul 26, 2024
- 399
- 1,409
hilo nalijua na siwezi mkataza mwanangu asimjue baba yake.Atakuwa mkubwa halafu ataanza kumuulizia baba yake .
Na hiyo ni damu yake halali ana haki hata iweje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo nalijua na siwezi mkataza mwanangu asimjue baba yake.Atakuwa mkubwa halafu ataanza kumuulizia baba yake .
Na hiyo ni damu yake halali ana haki hata iweje
mh! umefananisha ID ndugu!Kijana unaendeleaje na kumeza dawa zako za azuma?
AsantePole Sana aisee
Wewe si ndo yule kijana mfupi mnene ana kipara? Sasa nakufananisha vipi tena?🤣mh! umefananisha ID ndugu!
Na viporo lazima vipashwehilo nalijua na siwezi mkataza mwanangu asimjue baba yake.
Namuonea huruma sana huyo mwananguKumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
Hapana huyo mwanangu hana mbinunawe huijui hiyo mbinu..?
yani hapo mdada anajipatisha mimba kwa huyo mshikaji halafu baadae ndo mshikaji anabanwa mbavu!, sasa swala la kumuoa ama kutomuoa inategemea na jamaa akikubali sawa akiwa na kichwa kigumu hataoa, atakuwa tu baba
mkuu sio mimiWewe si ndo yule kijana mfupi mnene ana kipara? Sasa nakufananisha vipi tena?🤣
shida yako unawaza kupitia makalioBaba zima unalia kwa issue ndogo ka hizo?
Wanaume hawaoi wambea, wavuta shisha, watukanaji, wapiga vizinga, na walamba Koni. Mdada unakutana naye siku ya kwanza tu lkn anafakamia Koni kama yake.Mwanaume uliyezaa naye hataki kukuoa mkuu?
Baba zima unatukana wanao?shida yako unawaza kupitia makalio
Je! Amejaribu kuongea na makasisi wake wamuombee?Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani,ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.
Hautaki mtoto wa pili?Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
Kafanya kila njia,kusali,kutembea kwenye mikutano,kupitia dating sites,kuomba,kuongea na watu na kila kitu alinishirikisha,watoto wangu wa kuzaa nao walifanya kila njia lakini bado hajafanikiwaJe! Amejaribu kuongea na makasisi wake wamuombee?
inauma sana. hakuna mwanamke asiyetamani kuwa na familia yake lkn kisicho riziki huwa hakiliki.Namuonea huruma sana huyo mwanangu
Umemtupia majini au sio 🤣🤣🤣🏂🏂🏂 unataka umle mwenyewe na uzae nae 🤣🤣🤣Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani,ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.Kasubiri sana kupata mchumba hapati,tunaongea nae sana,nilimuomba padri wake anakosali amuombee,lakini hakuna kitu,alipata wanaume kama 3 hivi na kumbe walikuwa wanamtapeli maana wote wana wake.Sasa jana kanipigia simu,baba niruhusu tu ni zae bila ndoa,umri unapita,aisee bila kuficha nililia sana,mwishowe nimemwambia sawa,fanya roho yako itakavyokuongoza