Baba niruhusu nizae

Baba niruhusu nizae

Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
Namuonea huruma sana huyo mwanangu
 
nawe huijui hiyo mbinu..?
yani hapo mdada anajipatisha mimba kwa huyo mshikaji halafu baadae ndo mshikaji anabanwa mbavu!, sasa swala la kumuoa ama kutomuoa inategemea na jamaa akikubali sawa akiwa na kichwa kigumu hataoa, atakuwa tu baba
Hapana huyo mwanangu hana mbinu
 
Changamoto kubwa sana katika hiyo hali ni pale mwili unapohitaji mapenzi, maana hata ukae miaka lakini Kuna wakati unajikuta mwili unadai haki yake ya ndoa. Kudombwa na wanaume tofauti tofauti Kuna mwisho wake....umri unakataa unahitaji kuwa na mmoja wa Kila wakati.

Wanawake mna mitihani yenu mikubwa !
 
Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani,ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.
Je! Amejaribu kuongea na makasisi wake wamuombee?
 
Kumbe tupo wengi.story yake inafanana na yangu kwa asilimia kubwa. mimi nilipofikisha umri huo nikaamua kuzaa bila ndoa. sasa hivi ni 36 na katoto kangu kana miaka miwili. nina mfurahia sana mtoto wangu sasa napambana kwa ajili yake. na nina amani mambo ya ndoa nilishayaweka kwenye dampo la taka sasa ni kupambana tu na maisha. unaweza subiri ndoa mwisho wa siku umri ukakuacha kabisa ndoa ukakosa na mtoto ukakosa vilevile.
Hautaki mtoto wa pili?
 
Mabinti wengi wanakitembeza sana aisee. Ni warahisi kuvuliwa vyupi, kila akiwa na mtu basi lazima avuliwe kyupi. Hata mahusiano yadumu mwezi tu, tayari mtu ashashenyentwa..

Mti wa namna hii kupata ndoa inakuaga mtihani sana.
 
Hayo ni maombi ya mdada mmoja ambae,nilimlea toka akiwa na miaka 3 hadi kumfikisha chuo kikuu,kwa ngazi ya shahada ya uzamili,sasa ana miaka 34,hajazaa,hajaolewa.Kila akipata mwanaume hafiki nae mbali,japo ni mdada ambae hanywi pombe,havuti sigara,sio mtu wa kutoka out na nimemlea kwa dini ya kikatoliki japo mie ni muislamu,kwani ndio dini ya wazazi wake ambao kwa sasa hawako duniani,ana kazi yake na kipato japo sio kikubwa.Kasubiri sana kupata mchumba hapati,tunaongea nae sana,nilimuomba padri wake anakosali amuombee,lakini hakuna kitu,alipata wanaume kama 3 hivi na kumbe walikuwa wanamtapeli maana wote wana wake.Sasa jana kanipigia simu,baba niruhusu tu ni zae bila ndoa,umri unapita,aisee bila kuficha nililia sana,mwishowe nimemwambia sawa,fanya roho yako itakavyokuongoza
Umemtupia majini au sio 🤣🤣🤣🏂🏂🏂 unataka umle mwenyewe na uzae nae 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom