Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

Huyo Balozi wa Palestina anafanya nini Nchini wakati Hamas ni sehemu ya Palestina Authority?

Kwanini yeye isiongee na Yahaya Sinwar au Ismail Haniyeh nini maana ya Balozi? Kuomba Dua Misikitini?
Kama siasa za Palestina huzijui ni kuwa Serikali ya Palestina haiwezi kuwaambia Hamas chochote. Hamas wanaona serikali ya Palestina kama washirika wa Israel
 
Kama siasa za Palestina huzijui ni kuwa Serikali ya Palestina haiwezi kuwaambia Hamas chochote. Hamas wanaona serikali ya Palestina kama washirika wa Israel
Basi huyu Balozi afukuzwe hapa Nchini hana kazi yeyote.
 
Kwa hiyo vita kwa sasa inapiganwa underground tu? Kuliko na Hamas?
Hamas wangekuwa wanapigana above ground hii vita ingeshaisha ni tunnels ndio zinaichelewesha hii vita na ninasikia Hezbolah nao wameingia kwenye mapigano rasmi.
 
Hamas wapuuzi sana. Balozi wa palestina afukuzwe nchini
 
Hamas wangekuwa wanapigana above ground hii vita ingeshaisha ni tunnels ndio zinaichelewesha hii vita na ninasikia Hezbolah nao wameingia kwenye mapigano rasmi.
Kwa hiyo hao watu wanaouawa kila siku wanauawa kwenye tunnels?
 
,,,,,walipovamiwa na Hamas wakauliwa wanajeshi watano hapohapo.

,,,,,,,Mtz alikuwa chumbani wakavunja mlango na kumkuta amevaa burretproof.

,,,,,,,,Wakamchukua wakaondoka nae.

,,,,,,,,,Aliyetoa maelezo hayo ni Mtz mwenzake.

Nijiulizacho;

-Kwa Nini alikuwa maeneo ya karibu na wanajeshi?

-Kipi kilichopelekea avae burretproof?

-Kwa Nini huyo mtz alielezea tukio hawakuondoka nae?
 
Back
Top Bottom