Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

Baba wa Joshua aomba serikali ya Tanzania iongee na nchi rafiki za HAMAS ili waachie mwili wa mwanae

,,,,,walipovamiwa na Hamas wakauliwa wanajeshi watano hapohapo.

,,,,,,,Mtz alikuwa chumbani wakavunja mlango na kumkuta amevaa burretproof.

,,,,,,,,Wakamchukua wakaondoka nae.

,,,,,,,,,Aliyetoa maelezo hayo ni Mtz mwenzake.

Nijiulizacho;

-Kwa Nini alikuwa maeneo ya karibu na wanajeshi?

-Kipi kilichopelekea avae burretproof?

-Kwa Nini huyo mtz alielezea tukio hawakuondoka nae?
Kuna kitu hapo huyo Mangi kapigwa pesa ,nimeangalia trade video ukisoma na uzi fulani wa FaizaFoxy utajua kuna kitu.

Bulletproof imetoka wapi ?N yule wa kweny video labda pale walikuwa washamvua ile bulletproof ikabaki singlend then wanaona boxer ya jeshi ,balaa likaaanza.
 
Maislam bana. Ndo maana mnakamuliwa mavi mkifa muingie peponi wasafi.

Kisa tu hawa vijana wakulima ni mchaga na muarusha na wakristo ndo maana unaandika upuzi.
 
Maislam bana. Ndo maana mnakamuliwa mavi mkifa muingie peponi wasafi.

Kisa tu hawa vijana wakulima ni mchaga na muarusha na wakristo ndo maana unaandika upuzi.
Sio kweli nyie wenyewe mnamalizana .

Screenshot_20231229-191159.png
 
,,,,,walipovamiwa na Hamas wakauliwa wanajeshi watano hapohapo.

,,,,,,,Mtz alikuwa chumbani wakavunja mlango na kumkuta amevaa burretproof.

,,,,,,,,Wakamchukua wakaondoka nae.

,,,,,,,,,Aliyetoa maelezo hayo ni Mtz mwenzake.

Nijiulizacho;

-Kwa Nini alikuwa maeneo ya karibu na wanajeshi?

-Kipi kilichopelekea avae burretproof?

-Kwa Nini huyo mtz alielezea tukio hawakuondoka nae?
Wanajeshi walikuwa wanafanya nini tena kwenye Camp ya Kilimo?? Daah maswali ni mengi kuliko majibu
 
Kati ya jeshi na siasa ni yupi anaongoza mwingine?
Jeshi linapokea amri kutoka kwa wanasiasa
Yahya Sinwar hapokei tena amri kutoka kwa Ismail Haniyeh ndio maana makubaliano yaliyofanywa na Qatar na Egypt yamefeli

Haniyeh na Misri na Qatar wanataka vita isimame kwa siku saba na mateka Wanajeshi wa Kike wa Israeli waachiwe Yahya Sinwar kasema Israeli isimamishe vita yote kwa ujumla au vita iendelee.
 
Mzee akubali tu kuwa mwanaye atakuwa kasharudi mavumbini, hana namna...
 
Huyo Balozi wa Palestina anafanya nini Nchini wakati Hamas ni sehemu ya Palestina Authority?

Kwanini yeye isiongee na Yahaya Sinwar au Ismail Haniyeh nini maana ya Balozi? Kuomba Dua Misikitini?
Gaza Strip ipo chini ya Hamas baada ya kushinda uchaguzi mwaka 2006 kwa kura.Palestine Authority wana mamlaka West Bank na hivyo kufanya kazi ya balozi iwe ngumu kwani anatambuliwa kimataifa chini ya Palestine Authority lakini hana say kwa mambo yanayohusu Hamas.
 
,,,,,walipovamiwa na Hamas wakauliwa wanajeshi watano hapohapo.

,,,,,,,Mtz alikuwa chumbani wakavunja mlango na kumkuta amevaa burretproof.

,,,,,,,,Wakamchukua wakaondoka nae.

,,,,,,,,,Aliyetoa maelezo hayo ni Mtz mwenzake.

Nijiulizacho;

-Kwa Nini alikuwa maeneo ya karibu na wanajeshi?

-Kipi kilichopelekea avae burretproof?

-Kwa Nini huyo mtz alielezea tukio hawakuondoka nae?
Huyo Mtanzania mwingine alikua Shambani shekhe.
Bullet proof,sijui ila pale ni eneo la mpakani Kwa hiyo pengine wanapewa VIFAA vya kujikinga na isitoshe Israel pia Ina Safe rooms Kila sehemu ya nchi hata mbali na Na mpakani.

Anaposema wanajeshi ni kwamba Kuna wanajeshi kibao Wana makazi kule.Kwa hiyo wengi pia waliuliwa siku hiyo.
 
Hamas wangekuwa wanapigana above ground hii vita ingeshaisha ni tunnels ndio zinaichelewesha hii vita na ninasikia Hezbolah nao wameingia kwenye mapigano rasmi.
Yaani wanapigana ndani ya tunnels na IDF?Vita vinapiganwa above ground na si vita lelemama.
 
Wanajeshi walikuwa wanafanya nini tena kwenye Camp ya Kilimo?? Daah maswali ni mengi kuliko majibu
Niwapongeze wasafi na millado pamoja na mambo Yao ya burudani burudani,wamemuhoji swali la msingi Sana.
Walivyokuwa wahuni,mzazi alipojichanganya kujibu na kupata walichotaka wakamruhusu akapumzike .
 
Balozi wa Palestina nchini ameshondwa kuongea na vijana wake?
 
Back
Top Bottom