Balozi wa palestina nchini ni mojawapo ya watu wajinga kuliko mabalozi wote hapa nchini. vijana wetu wawili wameuliwa na hamas, tunahuzuni, halafu yeye badala ya kujifanya anajali, au hata kama hajali basi aonekana anayo mahusiano na watanzania wote, ameamua kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono. meaning, anaomba waislam pekee Tanzania waiunge mkono. wakristo hana haja nao wakati palestina kuna wakristo pia. maana ya kwenda msikitini, yeye akiwa balozi na hajaenda kanisani, inaonyesha yeye ni balozi anayetaka ushirikiano na waislam peke yake hapa nchini. mashetani kabisa hawa jamaa. namna walivyomuua yule dogo, dah.