imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Amesema Mke wake.Haa kumbe umeolewa Gaza?
Hongera hongera
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amesema Mke wake.Haa kumbe umeolewa Gaza?
Hongera hongera
29 December 2023
Kilimanjaro International Airport
Tanzania
BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS
BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS
View: https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs
Mzee Mollel ameongea mara baada ya kutua ktk uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro akitokea Israel ambapo alialikwa na serikali ya Israel kufuatia mwanae Joshua kutekwa na kuuawa na kundibla HAMAS tarehe 7 Oktoba 2023
Mzee Mollel asema amepewa taarifa za kina na jeshi la Israel IDF na viongozi wa Israel kuhusu kilichotokea na kuwa wamemshauri Mzee Mollel kuiomba serikali ya Tanzania iongee na nchi za Uturuki, Qatar n.k ili kundi hilo waweze kuuachia mwili wa mwanae uweze kurejeshwa Tanzania.
Mzee Mollel asema kuwa kundi hilo liliua na kuteka watu kutoka Mataifa mbalimbali bila kujali uraia au rangi ya mtu. Na Mzee Mollel aliweza kufika hadi katika kambi ya wafanyakazi wa kilimo ambapo mwanae na watu wengine walikubwa na uharamia huo.
27 December 2023
Family of Tanzanian national call for release of his body held by Hamas
View attachment 2856713
The Foreign Ministry held a special ceremony in memory of Tanzanian national Joshua Mollel, an agronomy student who came to Israel from Tanzania to study, and who was murdered on October 7. His body was abducted by Hamas terrorists from Kibbutz Nachal Oz and taken to Gaza. Mollel's father, Loitu, called on the international community to act for the immediate release of his son's body from Gaza so that he can bring him for a proper burial.
TOKA MAKTABA:
WATANZANIA WATAKA BALOZI WA PALESTINA ALAANI NA PIA KUWEZESHA MWILI WA JOSHUA UPATIKANE
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grataMmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...www.jamiiforums.com
Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.
Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi
View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h
Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo
Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.
Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,
Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.
Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'
10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
Wow at last umeamka mpaka unajua tunnels zilizopita kwenye makazi ya watu.Najua pia umeangalia so called videos ukapata ushahidi.At least unatetea hoja zako bila matusi.I respect that.Tunnels sio lazima iwe na opening kwenye kila nyumba inaweza kuvuka kwenye nyumba mbili ikaenda kuwa na opening kwenye nyumba ya tatu.
Mkuu huwezi kutuuzia hiyo story sisi Waafrika tumeamka sasa tunajua Dunia inaendaje.
Piganeni Vita zenu wacheni na sisi tupigane na vita yetu ya kupigana na Ubaguzi wa rangi na kumiliki uchumi wetu.
Kwanini sasa inakuqa vigumu kuuleta hapa Tanganyika au Wazazibari wanaotutawala hawataki?Mwili wa joshua umebaki palepale Kibbutz ...HAMAS hawahifadhi maiti za maadui zao.Bora awasiliane na serikali ya Israel wamweleze hiyo maiti waliizika wapi
Matusi noma hapa tunajadiliana kwa Hoja Hoja zinaongea bila kufosi kishabiki.Wow at last umeamka mpaka unajua tunnels zilizopita kwenye makazi ya watu.Najua pia umeangalia so called videos ukapata ushahidi.At least unatetea hoja zako bila matusi.I respect that.
Huwezi kupigana above the ground na adui ambaye anatumia unmanned aircrafts na fighter jets kukushambulia. Wayahudi wametulia Tel aviv, haifa na miji mingine wanaoperate drones na ndege zao za kivita kushambulia gaza. Hivyo technique kubwa ni hii ya kutumia underground tunnels unajihami na kushambulia kwa kushtukizaHamas wangekuwa wanapigana above ground hii vita ingeshaisha ni tunnels ndio zinaichelewesha hii vita na ninasikia Hezbolah nao wameingia kwenye mapigano rasmi.
Wewe ndio ulianza kutukana.Kama ulikuwa unajaribu nafikiri umepata jibu.Jibu hoja kwa hoja.Huwezi kaa kimya ukianza matusi utajibiwa.Unavweza kutukana uwezavyo bahati mbaya kila tusi lita kurudia kwa ukamilifu😂
Uko sahihi lakini hii strategy ya kujificha chini ya makazi ya Wananchi unaionaje?Huwezi kupigana above the ground na adui ambaye anatumia unmanned aircrafts na fighter jets kukushambulia. Wayahudi wametulia Tel aviv, haifa na miji mingine wanaoperate drones na ndege zao za kivita kushambulia gaza. Hivyo technique kubwa ni hii ya kutumia underground tunnels unajihami na kushambulia kwa kushtukiza
Mkuu tujadiliane kwa staha ili mjadala uwe mtamu.😁Unavweza kutukana uwezavyo bahati mbaya kila tusi lita kurudia kwa ukamilifu😂
Hao wananchi wanaouliwa wanaiunga mkono Hamas. Mkakati wa kuchimba tunnels upo lakini sio kwenye makazi ya watu.Na kama ulioona tunnels hizo sio ndogo mpaka gari linapita ndani.Iwe kwenye makazi ya watu inaleta kweli mantiki?Uko sahihi lakini hii strategy ya kujificha chini ya makazi ya Wananchi unaionaje?
It means Seriakali yetu imelala kwenye kujali usalama wa Raia wake, Israel walitarajia kuona Serikali ya Tanzania kama taifa mojawapo ambalo Raia wake wameathirika na tukio hilo wakiwa wanafanya Juhudi za Kimataifa.
Putin, Thailand, France and Mataifa yote wamekuwa wakizungumza na Hamas kupitia Channels tofauti tofaut kama Qatar na Egpty kwa ajili kujua Usalama wa Raia wao wanaoshikiliwa Mateka.
Hili linaonesha Kuwa Either tunauongozi dhaifu sana au tuna kikundi cha watu wenye mamlaka wasiojua malengo ya taifa au kuthamini Raia wake
Hamas wamekuwa wakirusha makombora kwenye miji ya Israel tena hayo makombora sio guided ni kama Katyusha.Hao wananchi wanaouliwa wanaiunga mkono Hamas. Mkakati wa kuchimba tunnels upo lakini sio kwenye makazi ya watu.Na kama ulioona tunnels hizo sio ndogo mpaka gari linapita ndani.Iwe kwenye makazi ya watu inaleta kweli mantiki.
Ukiwa unagombea ardhi yako unatumia nyenzo zote ulizonazo.Huwezi kulinganisha opressers na oppressed kwa mizani moja.Israel ingewapa haki yao wapalestina amani ingepatikana.View attachment 2856893
Haya Maroketi ya Hamas yanalenga kuuwa Wananchi wa Israeli targeting civilian ni War Crime.
Sasa wewe uwashambulie raia wangu halafu raia wako nikiwagusa kelele moaka juu ya bati.
Sema tu hao Waarabu hawana zana nzito za kuua watu wengi, kama target yako ni Civilians Israeli nae anajibu kama wewe huwajali Waarabu wako Israeli inawajali Waisraeli wake.Ukiwa unagombea ardhi yako unatumia nyenzo zote ulizonazo.Huwezi kulinganisha opressers na oppressed kwa mizani moja.Israel ingewapa haki yao wapalestina amani ingepatikana.
Israel iliwahi kuwaomba kina Arafat wakubali kugawana Ardhi Arafat akatoka kwa hasira yeye alikuwa anataka Ardhi yote.Ukiwa unagombea ardhi yako unatumia nyenzo zote ulizonazo.Huwezi kulinganisha opressers na oppressed kwa mizani moja.Israel ingewapa haki yao wapalestina amani ingepatikana.
ulishaletwa Rombo na ulishazikwa
Dah waliwaomba?Mkataba upi wa amani?Camp David au Oslo?Israel iliwahi kuwaomba kina Arafat wakubali kugawana Ardhi Arafat akatoka kwa hasira yeye alikuwa anataka Ardhi yote.
Hiyo Ardhi ni yao wote hata Qurani imeandika.
Sasa hivi wanaomba hata kiduchu😁
ulishaletwa Rombo na ulishazikwa