Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In 2000, after Yasser Arafat rejected the offer made to him by Ehud Barak based on a two-state solution and declined to negotiate for an alternative plan, it became clear that Arafat would not make a deal with IsraelDah waliwaomba?Mkataba upi wa amani?Camp David au Oslo?
Mkuu leta ushahidi.Alipouawa Waziri Mkuu Rabin na myahudi mwenye mlengo mkali kwa kukubali mkataba wa amani na wapalestina.Mazungumzo yakafa.Israel ikawa inaendelea kumega ardhi ya wapelestina kwa kuleta walowezi wa kiyahudi kutoka nje kujenga kwenye makazi ya wapalestina.Na kuwaua na kuwafukuza wapalestina.
Kuna UN resolution nyingi zikizungumzia hali hiyo na Israel haizifuati chini ya mgongo wa USA.Kulikuwa na two state solution na Israel imekataa.Haki haiombwi inapiganiwa.
Naona niishie hapa, maana huu sasa unaenda kuwa ubishi wa kwenye Kahawa ALAMSIKI NDUGU! KESHO TUKIJAALIWA.Yaani maneno ya miaka 20 iliyopita ya Elihud Barak ndio ushahidi wako?Yaani ulitaraji Ehud Barak aseme wao ndio waliokataa kufuata mkataba wa Amani.Tena kwenye gazeti la Guardian.
You can do better than this.Try again.
Hivi vikitokea vita Dar-es-salaam..wanajeshi watakaa tu ktk kambi za lugalo,mgulani n.k ?Uko sahihi lakini hii strategy ya kujificha chini ya makazi ya Wananchi unaionaje?
29 December 2023
Kilimanjaro International Airport
Tanzania
BABA WA JOSHUA AOMBA SERIKALI YA TANZANIA IONGEE NA NCHI RAFIKI ZA KUNDI LA HAMAS
BABA MZAZI WA JOSHUA MOLLEL AMWAGA MACHOZI, AREJEA TANZANIA BILA MWILI WA MWANAE ALIYEUWAWA NA HAMAS
View: https://m.youtube.com/watch?v=DTeLiUa7QVs
Mzee Mollel ameongea mara baada ya kutua ktk uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro akitokea Israel ambapo alialikwa na serikali ya Israel kufuatia mwanae Joshua kutekwa na kuuawa na kundibla HAMAS tarehe 7 Oktoba 2023
Mzee Mollel asema amepewa taarifa za kina na jeshi la Israel IDF na viongozi wa Israel kuhusu kilichotokea na kuwa wamemshauri Mzee Mollel kuiomba serikali ya Tanzania iongee na nchi za Uturuki, Qatar n.k ili kundi hilo waweze kuuachia mwili wa mwanae uweze kurejeshwa Tanzania.
Mzee Mollel asema kuwa kundi hilo liliua na kuteka watu kutoka Mataifa mbalimbali bila kujali uraia au rangi ya mtu. Na Mzee Mollel aliweza kufika hadi katika kambi ya wafanyakazi wa kilimo ambapo mwanae na watu wengine walikubwa na uharamia huo.
27 December 2023
Family of Tanzanian national call for release of his body held by Hamas
View attachment 2856713
The Foreign Ministry held a special ceremony in memory of Tanzanian national Joshua Mollel, an agronomy student who came to Israel from Tanzania to study, and who was murdered on October 7. His body was abducted by Hamas terrorists from Kibbutz Nachal Oz and taken to Gaza. Mollel's father, Loitu, called on the international community to act for the immediate release of his son's body from Gaza so that he can bring him for a proper burial.
TOKA MAKTABA:
WATANZANIA WATAKA BALOZI WA PALESTINA ALAANI NA PIA KUWEZESHA MWILI WA JOSHUA UPATIKANE
Balozi wa Palestine nchini Tanzania Mh. Hamdi Mansour Abuali alimwe barua mara moja na kutimuliwa kama persona non grataMmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...www.jamiiforums.com
Balozi wa Palestina badala ya kwenda wizara ya mambo ya nje kutafuta kuungwa mkono na Tanzania anaamua kuugawa umma wa waTanzania kwa kwenda msikitini kuomba kuungwa mkono na sehemu ya jamii inayounda Tanzania.
Video hapa chini ikionesha Mh. Balozi Hamdi Mansour Abuali akiwa anafanya shughuli zinazohatarisha usalama wq nchi kinyume na mikataba ya Vienna protocol kuhusu kazi za balozi
View: https://m.youtube.com/watch?v=auOKnvgArZ8&pp=ygUSQmFsb3ppIHdhIHBhbGVzaW5h
Waarabu wanawachukulia kwa tahadhari kubwa wapalestina, lakini sisi waswahili tuna fuata mkumbo
Huyu balozi aitwe wizara ya mambo ya nje kuonywa kuacha kukosoa sera za mahusiano kimataifa za Tanzania kutoingilia upande wowote, aache kutaka kuchochea maandamano.
Balozi huyu wa Palestina hajui mipaka yake ya kidiplomasia, muda mwingi anataka kutuamrisha kufanya mambo yasiyokwenda na sera za nchi yetu kimataifa za diplomasia ya kiuchumi, watalii waje wengi kupitia Tanzania Royal Tour, wawekezaji,
Anaweza kutimuliwa kutokana na mienendo yake isiyokuwa ya cheo cha balozi . Kule Chad balozi alitimuliwa kwa kufanya kazi sizizo za kibalozi.
Gov't of Chad orders Gordon Kricke to leave country within 48 hours for 'non-respect of diplomatic customs', ministry says.
Le Monde.fr
https://www.lemonde.fr › 2023/04/10
Chad expels German ambassador, blaming 'impolite attitude'
10 Apr 2023 — The German ambassador to Chad, declared persona non grata by the government for his "impolite attitude", was
Duuuh! pole sana kwa familia.Hivi mwili wa yule mwenzake na Joshua,ajulikanae kwa jina la Clement,uliletwa nchini kweli?
Waage vema.Na watanzania wengine nasikia bado wanasaka fursa ya kwenda kupalilia mashamba huko izirael
Mgeni atakujaje nyumbani kwako halafu akwambie kuwa ni lazima mgawane vyumba ili uweze kuishi kwa amani!Israel iliwahi kuwaomba kina Arafat wakubali kugawana Ardhi Arafat akatoka kwa hasira yeye alikuwa anataka Ardhi yote.
Hiyo Ardhi ni yao wote hata Qurani imeandika.
Sasa hivi wanaomba hata kiduchu😁
Tatizo Waarabu wengine huwa wanawadanganya Wapalestina kuwa watawasaidia Kijeshi na ndio sababu baada ya Wazayuni kujiona wamezipiga Nchi karibia zote za Kiarabu sasa wanaringa na huenda wameingiwa na Kibri.
Sisapoti mambo wanayofanya Wazayuni wabaguzi wa rangi huko West Bank.
Lakini nakupa facts.
Isreal wanapewa na Marekani, UNO, NATO kwa sababu GAZA kuna Waislam. Ukrain kwenye wakiristo unasikia keleleIran ndio anawapa silaha na namna ya kuzitengeneza.
Ndio zipo nchi Rafiki wa HAMAS … ya kwanza kabisa ni Qatar hawa wanafadhili hili kundi , nyingine ni Urusi, IRAN na YEMENNchi rafiki Kwa Hamas?
Mbona Mwarabu mwenzao hawapi Silaha mpaka wategemee Mpersia?Isreal wanapewa na Marekani, UNO, NATO kwa sababu GAZA kuna Waislam. Ukrain kwenye wakiristo unasikia kelele
Na hata leo wakipewa Gaza na West Bank Wapalestina watageukiana wenyewe kwa wenyewe Waislamu vs Wakristo au Suni vs Shia trust me.Huyo balozi anakwenda kinyume Hata na mabosi wake waliomtuma maana plo na fatah walipingana Mpaka kupigana wenyewe kwa wenyewe huko gaza na ni maadui.
Hujui unaandika nini7
Mbona Mwarabu mwenzao hawapi Silaha mpaka wategemee Mpersia?
Mwarabu ana Nchi karibia 20 lakini kazificha Kordani mbele Netanyahu.
Nisome vizuri Mwarabu.Hujui unaandika nini
Fatah /plo ni Sunni na Hamas ni Sunni na walpigana sana Mpaka Fatah / plo wakafukuzwa Gaza .Na hata leo wakipewa Gaza na West Bank Wapalestina watageukiana wenyewe kwa wenyewe Waislamu vs Wakristo au Suni vs Shia trust me.
Uisilamu umefanywa kuwa Dini ya Kuuana bila kupingana kwa hoja nimejaribu kuangalia huko nyuma enzi za Utawala wa Abbasid Kalif Harun Bin Rashid wa Baghdad watu walikuwa wakiruhusiwa kupingana bila kuuana.Fatah /plo ni Sunni na Hamas ni Sunni na walpigana sana Mpaka Fatah / plo wakafukuzwa Gaza .
Nje kidogo ya mada ; wakati wa mgogoro wa isis , isis wakisaidiwa na Hamas na Islamic jihad wote ni Sunni waliwachinja Askari wa Syria ambao ni shia kabla Russia na Hezbula na Iran wote Shia kuja kuisaidia Syria .
Kwa hio unaona kuwa wao kwa wao ni maadui