Sawa mkuu, uislamu ndiyo dini changa ki umri kuliko dini zote kubwa za dunia Yaani ukristo , uyahudi , Hindu na budha.Uisilamu umefanywa kuwa Dini ya Kuuana bila kupingana kwa hoja nimejaribu kuangalia huko nyuma enzi za Utawala wa Harun Bin Rashid Baghdad watu walikuwa wakiruhusiwa kupingana bila kuuana.
Nimegundua Waumini wengi walikuwa wakipinga kuwa Quran ni Direct word of God ndio hii story unayosikia kuwa Quran "imeshushwa" hebu fikiria mtu anaeamini kuwa Kitabu "kimeshushwa" hamuwezi kujadiliana.
Mimi ushauri wangu nu Uisilamu ufanyiwe reforms.
Kwahiyo ili kulazimisha watu waiamini ilienezwa kwa vita ukiamini unaachiwa usipoamini unachinjwa, ndiyo isis wakajaribu kurudia kwa uchizi wao .