Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Nendeni jumuiya wacheni kuhojihoji.

NB hatutomzika mtu yoyote asiyefika jumuiya kwani kufanya ivyo ni kumkosea kama jumuiya yake ni ya wala konyagi hao ndio wamzike
Unazikwa kama kawa bhana wanatishia ili sadaka ziongezeke wapo wasio kwenda jumuia na wanatoa sadaka wanatambulika vizuri tu
 
KATIKA WATU WENYE HOJA DHAIFU NI WAKRISTO...

ZAIDI YA UJINGA...NA STORY ZA KUTUNGA BADALA YA MAANDIKO ...HAWANA CHA KUJADILIANA NA WAISLAAM...

WANAPENDA SANA KUANZISHA MADA ZA KUWASHUTUMU WAISLAAM NA DINI YAO...WANAPOJIBIWA KWA HOJA NZITO MADHUBUTI HUKIMBIA...AU HUSHUPAZA SHINGO KWA UBISHI TU...HALI YA KUWA WAMESHAONA MAPUNGUFU KATIKA DINI YAO...

TUNA JIBU FUPI LA HILI SWALI LA UZI.

Ibraahim alikuwa na itikadi ya kumuabudu Mungu Mmoja...alikataa kumshirikisha Mungu na chochote...na wala HAKUWAHI KUSEMA POPOTE KWENYE BIBLIA KUWA YESU NI MUNGU AU MWANA WA MUNGU AU MUNGU YUPO KATIKA UTATU MTAKATIFU...

Mpaka hapo kwa itikadi hiyo...tayari jibu ni IBRAAHIIM ALIKUWA NI MUISLAAM KAMILI ..KWA SABABU HIYO NDIO ITIKADI YA UISLAAM...

UKIBISHA LETA ANDIKO KWENYE BIBLE. SIO MANENO MATUPU.
Mh mbona kila dini inaleta utata si tuliambiwa uislamu ulikuja baada ya mtume iweje ibra awe muislamu kipindi hiko hakuna uislamu
 
Kipindi hicho Haku kuwa na dini Bali kulikuwa na waliomuamini mungu mmoja
 
Surah 3 Ali 'Imran, Ayat 67-67

مَا كَانَ اِبۡرٰهِيۡمُ يَهُوۡدِيًّا وَّلَا نَصۡرَانِيًّا وَّ لٰكِنۡ كَانَ حَنِيۡفًا مُّسۡلِمًا ؕ وَمَا كَانَ مِنَ الۡمُشۡرِكِيۡنَ‏ ﴿3:67﴾


(3:67) Abraham was neither a Jew nor a Christian; he was a Muslim, wholly devoted to God.59 And he certainly was not amongst those who associate others with Allah in His divinity.

مَا كَانَ إِبْرَاهِيمُ يَهُودِيًّا وَلَا نَصْرَانِيًّا وَلَـٰكِن كَانَ حَنِيفًا مُّسْلِمًا وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

(AL I'MRAN - 67)
Ibrahim hakuwa Yahudi wala Mkristo, lakini alikuwa mwongofu Muislamu, wala hakuwa katika washirikina.

ANAYEPINGA APINGE KWA MAANDIKO.
Alikuwa muislamu kabla ya uislamu wenyewe kuwepo maajabu haya!!
 
Mmeshindwa kujibu hoja, aya inamtaja ibrahimu na ukristo wakati enzi za ibrahimu hakukua na ukristo,
Wakiristo hawamuiti Ibrahim baba wa Imani!?..ujio wa yesu ambaye ni Mungu/mwana wa Mungu siyo kwa sababu manabii wote walifeli na yeye yesu kaja kukomboa watu!?..ikiwa na maana Ibrahim na yesu ni Imani moja!!
 
Hili jambo limejibiwa sana, kuwa kila anapo kuja Nabii anapewa sheria zake, kwahiyo usikariri , kwahiyo hakuna ulazima sheria za mohamad zifanane na Musa , halafu shahada ina kwenda kwa Nabii husika wa zama hizo, kwa zama hizo ni Mohamad, ila kwa zama za Musa ni musa, haya jikite kwenye Mada Ibrahim alikuwa dini gani?
Siyo kwamba hawaelewi Bali hawataki kuelewa maana hawana hoja nyingine
 
Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je, niwapi wanaomfata?
walimwabudu Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo aliyeumba mbingu na nchi na atakayekuja kuihukumu dunia siku moja ijayo. hawakuabudu mabaali, majini na wachawi kama ninyi wafuasi wa fulani.
 
Back
Top Bottom