BabuFey
JF-Expert Member
- Feb 13, 2023
- 1,659
- 2,913
Unadhani wakati wake Fundi Seremala alikuwepo acha upuuziWALE JAMAA WAFUGA NDEVU, WAVAA KOBAZI WANAKUAMBIA ALIKUWA MUISLAMU WAKATI UISLAM UMEANZISHWA NA MUDY KARNE YA SABA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unadhani wakati wake Fundi Seremala alikuwepo acha upuuziWALE JAMAA WAFUGA NDEVU, WAVAA KOBAZI WANAKUAMBIA ALIKUWA MUISLAMU WAKATI UISLAM UMEANZISHWA NA MUDY KARNE YA SABA.
YhwhMungu gani!?..maana miungu wengi!!...hata ng'ombe uliyemla pasaka ni Mungu kwa wahindu
Nimeshakujibu kuwa biblia haijasema kuwa ibrahimu alikua mkristoBaba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?
Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini. Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana. Je, niwapi wanaomfata?www.jamiiforums.com
Nakukumbusha tu kuwa kilichoulizwa hapo kimejibiwa na maandiko ya Mungu wa waislamu.
Kama unajibu nawe kwa maandiko ya Mungu wako jibu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Yhwh ndiyo Mungu yupi,wa dini ipi!?Yhwh
Mungu wa BibliaYhwh ndiyo Mungu yupi,wa dini ipi!?
Biblia ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo vingi biography ya muandishi,watu na matukio... biography haiwezi kuwa kitabu Cha MunguMungu wa Biblia
Kwanini haiwezi?Biblia ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo vingi biography ya muandishi,watu na matukio... biography haiwezi kuwa kitabu Cha Mungu
Kesi imefugwa kwa jibu lako juu ya Uzi huu.Asante.Nimeshakujibu kuwa biblia haijasema kuwa ibrahimu alikua mkristo
Mimi nimeuliza tuu kwamba ibrahimu ameanza kuwa muislam kipindi cha ukristo?[emoji1] kulingana na Aya ya Mungu wa quran.
Kwahiyo quran imekuja kuthibitisha kuwa ibra ni muislamu karne ya juzi tuu hapo maana aya imetaja na ukristo na tunajua ukristo ulianza baada ya Yesu
Swali lingine tena, hadithi za nabii issa nazo zimekuja kuandikwa kwenye quran wakati huo kina Yohana, Mathayo walishaaandika kuhusu Yesu[emoji3][emoji3]
Hii inaonesha quran ni copy $ paste ya vitabu vya biblia
Mnachonichekesha sana WAISLAMU.
Ibrahim amekulia Yelusalemu.
Islael.
NYIE
Quran Imeandikwa Meka JE Ibrahim amewahi hata kufika Meka Saudi Arabia?????
Nerere azaliwe Tanzania alafu Mnigeria aandike habari za Nyerere na kudai eti ameishi na Nyerere.....
KWAHIYO anamjua Nyerere kuliko WATANZANIA alioishi nao. 1922- 1999.
Tena aje huyo mtume kutoka Nigeria atokee Mwaka 2050 ASEME aliishi na nyerere Nigeria ......
PUNGUZENI UPUMBAVU
Maneno matupu bila uthibitisho!Kwani unawahi wapi?Weka maandiko kuthibitisha dai lako.Aliyesema alikuwa muislam ni muandishi wa quran sio mungu... know the difference
Wewe na aliyemuumba tumuamini nani sasa?.Alikuwa muislamu kabla ya uislamu wenyewe kuwepo maajabu haya!!
Sasa utakuwepo vipi wakati unamrefer mtu ambaye hakuwepo? Mbona mnakuwa wajinga sana nyie watu?Kama wewe hauja kuwepo una juaje uislamu hauja kuwepo?
Qurani ni janja janja tu, hivi huyo Ibrahimu Mwislamu wa kwenye Qurani ni mtoto wa nani ?Biblia ni mkusanyiko wa vitabu ambavyo vingi biography ya muandishi,watu na matukio... biography haiwezi kuwa kitabu Cha Mungu