Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Nendeni jumuiya wacheni kuhojihoji.

NB hatutomzika mtu yoyote asiyefika jumuiya kwani kufanya ivyo ni kumkosea kama jumuiya yake ni ya wala konyagi hao ndio wamzike
Unazikwa kama kawa bhana wanatishia ili sadaka ziongezeke wapo wasio kwenda jumuia na wanatoa sadaka wanatambulika vizuri tu
 
Mh mbona kila dini inaleta utata si tuliambiwa uislamu ulikuja baada ya mtume iweje ibra awe muislamu kipindi hiko hakuna uislamu
 
Kipindi hicho Haku kuwa na dini Bali kulikuwa na waliomuamini mungu mmoja
 
Alikuwa muislamu kabla ya uislamu wenyewe kuwepo maajabu haya!!
 
Mmeshindwa kujibu hoja, aya inamtaja ibrahimu na ukristo wakati enzi za ibrahimu hakukua na ukristo,
Wakiristo hawamuiti Ibrahim baba wa Imani!?..ujio wa yesu ambaye ni Mungu/mwana wa Mungu siyo kwa sababu manabii wote walifeli na yeye yesu kaja kukomboa watu!?..ikiwa na maana Ibrahim na yesu ni Imani moja!!
 
Siyo kwamba hawaelewi Bali hawataki kuelewa maana hawana hoja nyingine
 
Hili swali nalikalibisha tu,kwa watu wenye uelewe wa mambo ya Dini.

Huyu ni nabii na mtume wa Mwenyezi Mungu, ambaye anakubaliki na Dini zote, kuanzia Uyahudi, Ukristo mpaka Uisilamu, na hawa wote ibada zao zimetofautiana.

Je, niwapi wanaomfata?
walimwabudu Mungu wa kweli, Mungu wa Ibrahim Isaka na Yakobo aliyeumba mbingu na nchi na atakayekuja kuihukumu dunia siku moja ijayo. hawakuabudu mabaali, majini na wachawi kama ninyi wafuasi wa fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…