Baba wa Manabii na Mitume wote Ibrahimu au Abrahamu alikuwa Dini gani?

Asante.
 
وَقَالُوا كُونُوا هُودًا أَوْ نَصَارَىٰ تَهْتَدُوا ۗ قُلْ بَلْ مِلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا ۖ وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

(AL - BAQARA - 135)
Na wakasema: Kuweni Mayahudi au Wakristo ndio mtaongoka. Sema: Bali tunashika mila ya Ibrahim mwongofu, wala hakuwa katika washirikina.

قُلْنَا يَا نَارُ كُونِي بَرْدًا وَسَلَامًا عَلَىٰ إِبْرَاهِيمَ

(AL - ANBIYAA - 69)
Sisi tukasema: Ewe moto! Kuwa baridi na salama kwa Ibrahim!

وَوَهَبْنَا لَهُ إِسْحَاقَ وَيَعْقُوبَ نَافِلَةً ۖ وَكُلًّا جَعَلْنَا صَالِحِينَ

(AL - ANBIYAA - 72)
Naye tukampa Is-haq, na Yaaqub kuwa ni ziada. Na wote tukawajaalia wawe watu wema.

وَجَعَلْنَاهُمْ أَئِمَّةً يَهْدُونَ بِأَمْرِنَا وَأَوْحَيْنَا إِلَيْهِمْ فِعْلَ الْخَيْرَاتِ وَإِقَامَ الصَّلَاةِ وَإِيتَاءَ الزَّكَاةِ ۖ وَكَانُوا لَنَا عَابِدِينَ

(AL - ANBIYAA - 73)
Na tukawafanya maimamu wakiongoa watu kwa amri yetu. Na tukawafunulia watende kheri, na washike Sala, na watoe Zaka; na walikuwa wanatuabudu Sisi tu.

(And We bestowed on him Isaac and — as an additional gift (a grandson) — Jacob, and We made righteous men of every one of them. And We made them leaders who guided (people) by Our command, and We inspired in them the doing of good deeds and the keeping up of Prayer and the giving of the alms, and they were worshippers of Us (alone).) (Al-Anbiyaa’ 21:72–73)

قُلْ إِنَّنِي هَدَانِي رَبِّي إِلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ دِينًا قِيَمًا مِّلَّةَ إِبْرَاهِيمَ حَنِيفًا ۚ وَمَا كَانَ مِنَ الْمُشْرِكِينَ

(AL - AN-A'AM - 161)
Sema: Kwa hakika mimi Mola wangu Mlezi ameniongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka, Dini iliyo sawa kabisa, ambayo ndiyo mila ya Ibrahim aliye kuwa mwongofu, wala hakuwa miongoni mwa washirikina.

قُلْ إِنَّ صَلَاتِي وَنُسُكِي وَمَحْيَايَ وَمَمَاتِي لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ

(AL - AN-A'AM - 162)
Sema: Hakika Sala yangu, na ibada zangu, na uhai wangu, na kufa kwangu, ni kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

NDUGU!UKIZIPITIA KWA MAKINI HIZO AYA HAPO JUU,UTAGUNDUA KUWA "DINI"IMESIMAMA KUWA NI MFUMO WA MAISHA YOTE ANAYOISHI MWANADAMU IMA KWA KUFUATA MUONGOZO WA MWENYEZI MUNGU AU MIONGOZO YA WATU.

Pia angalia Aya hii hapa chini.

حُرِّمَتْ عَلَيْكُمُ الْمَيْتَةُ وَالدَّمُ وَلَحْمُ الْخِنزِيرِ وَمَا أُهِلَّ لِغَيْرِ اللَّهِ بِهِ وَالْمُنْخَنِقَةُ وَالْمَوْقُوذَةُ وَالْمُتَرَدِّيَةُ وَالنَّطِيحَةُ وَمَا أَكَلَ السَّبُعُ إِلَّا مَا ذَكَّيْتُمْ وَمَا ذُبِحَ عَلَى النُّصُبِ وَأَن تَسْتَقْسِمُوا بِالْأَزْلَامِ ۚ ذَٰلِكُمْ فِسْقٌ ۗ الْيَوْمَ يَئِسَ الَّذِينَ كَفَرُوا مِن دِينِكُمْ فَلَا تَخْشَوْهُمْ وَاخْشَوْنِ ۚ الْيَوْمَ أَكْمَلْتُ لَكُمْ دِينَكُمْ وَأَتْمَمْتُ عَلَيْكُمْ نِعْمَتِي وَرَضِيتُ لَكُمُ الْإِسْلَامَ دِينًا ۚ فَمَنِ اضْطُرَّ فِي مَخْمَصَةٍ غَيْرَ مُتَجَانِفٍ لِّإِثْمٍ ۙ فَإِنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ

(AL - MAIDA - 3)
Mmeharimishiwa nyamafu, na damu, na nyama ya nguruwe, na mnyama aliye chinjwa si kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, na aliye kufa kwa kunyongeka koo, na aliye kufa kwa kupigwa, na aliye kufa kwa kuanguka, na aliye kufa kwa kupigwa pembe, aliye liwa na mnyama, ila mkimdiriki kumchinja. Na pia ni haramu kula nyama aliye chinjiwa masanamu. Na ni haramu kupiga ramli. Hayo yote ni upotovu. Leo walio kufuru wamekata tamaa na Dini yenu; basi msiwaogope, bali niogopeni Mimi. Leo nimekukamiliishieni Dini yenu, na nimekutimizieni neema yangu, na nimekupendeleeni UISLAMU uwe ndiyo Dini yenu. Na mwenye kushurutishwa na njaa, bila ya kupendelea dhambi, basi hakika Mwenyezi Mungu ni Msamehevu na Mwenye kurehemu.

KUMBE HADI JINA UISLAMU,LIMETAMBULISHWA NA MWENYEZI MUNGU MWENYEWE!

TENA NA DINI YENYEWE IMEKAMILISHWA KUPITIA MTUME MUHAMMAD SALA NA AMANI ZIMUENDEE.

NA HAPO KUMBE NDIYO TUNAPATA TOFAUTI YA UISLAMU WA MITUME WALITANGULIA KABLA YA MTUME MUHAMMAD KWA KUWA BADO MWENYEZI MUNGU ALIKUWA HAJAUKAMILISHA UISLAMU WENYEWE KATIKA UKAMILIFU HUU TULIONAO SASA.

ASSALAMU ALAYKUM.
 
Hoja hii ilikusudia kujibu post hii
 
Sasa kama washaziandika,siujibie swali la Uzi!.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Umeeleza vizuri sana, Dini ni mfumo wa maisha kwa nabii Ibrahimu mfumo huo ulikuwa haujakamilika na umekuja kukamilika kwa mtukufu mtukufu mtume (saw) na hapo ndio Allah akaupa jina Islam na akauwekea nguzo 5, huko nyuma kwakuwa haukuwa kamili Allah hakuupa jina lolote mfumo huo bali walioufuata mfumo huo Walitambulika kama Waisilamu kwa maana ya unyenyekevu.

Sisi leo tunaitwa Waisilamu kwa maana mbili:- 1 --kwasababu ni wanyenyekevu, 2-- kwasababu ya kushika dini hii yenye jina Islamu iliyokamilika chini ya mtume (saw) ikiwa na nguzo zake 5..

Ndio maana nasema Uisilamu au mfumo wa maisha wa nabii Ibrahimu ambao haukuwa kamili ni huo wa aina ya kwanza ambao haukujengwa katika nguzo tano za Uisilamu huu wa mtume (saw) japokuwa unakurubiana.

Watu wasiokuwa waisilamu wanahitaji maelezo kama haya ili waelewe kwani mtu ukimwambia Nabii Ibrahimu alikuwa Muisilamu bila kumpa maelezo kwamba alikuwa Muisilamu kwa namna ipi, yeye akili yake moja kwa moja inampeleka kwamba Muisilamu ni mfuasi wa dini hii ya kiisilamu iliyokamilika kwa mtukufu mtume (saw) ambayo mfuasi wake lazima atamke shahada, Aswali sala 5, atoe zaka, afunge Ramadhani, Ahiji makka ambapo kwa manabii waliopita hawakufanya baadhi ya nguzo.

Hivyo unapozungumzia juu ya dini na Uisilamu wa.manabii waliopita inahitajika ufafanuzi ili kuondoa mkanganyiko unaojitokeza.
 
Huna hoja maana swali nimeshajibu ilahutaki kujibu swali langu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Acha wivu sasa!Maana Mungu katika vitabu vya awali hakuitaji Dini ya Ibrahim bali katika kitabu chake cha mwisho QUR'AN,kaitaja Dini yake.
 
Tera yupi!?..wa wapi!?..Kisha kinabadilika nini!?..hadithi ndiyo Quran we kima!!?
Mwanzo 11:10 Hivi ndivyo vizazi vya Shemu; Shemu alikuwa mtu wa miaka mia akamzaa Arfaksadi miaka miwili baada ya gharika.
Mwanzo 11:11 Shemu akaishi baada ya kumzaa Arfaksadi miaka mia tano, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:12 Arfaksadi akaishi miaka thelathini na mitano, akamzaa Sela.
Mwanzo 11:13 Arfaksadi akaishi baada ya kumzaa Sela miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:14 Sela akaishi miaka thelathini, akamzaa Eberi.
Mwanzo 11:15 Sela akaishi baada ya kumzaa Eberi miaka mia nne na mitatu, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:16 Eberi akaishi miaka thelathini na minne, akamzaa Pelegi.
Mwanzo 11:17 Eberi akaishi baada ya kumzaa Pelegi miaka mia nne na thelathini, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:18 Pelegi akaishi miaka thelathini, akamzaa Reu.
Mwanzo 11:19 Pelegi akaishi baada ya kumzaa Reu miaka mia mbili na kenda, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:20 Reu akaishi miaka thelathini na miwili, akamzaa Serugi.
Mwanzo 11:21 Reu akaishi baada ya kumzaa Serugi miaka mia mbili na saba, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:22 Serugi akaishi miaka thelathini, akamzaa Nahori.
Mwanzo 11:23 Serugi akaishi baada ya kumzaa Nahori miaka mia mbili, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:24 Nahori akaishi miaka ishirini na kenda, akamzaa Tera.
Mwanzo 11:25 Nahori akaishi baada ya kumzaa Tera miaka mia na kumi na kenda, akazaa wana, waume na wake.
Mwanzo 11:26 Tera akaishi miaka sabini, akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani.
Mwanzo 11:27 Na hivi ndivyo vizazi vya Tera. Tera akamzaa Abramu, na Nahori, na Harani. Harani akamzaa Lutu.
Mwanzo 11:28 Harani akafa kabla ya baba yake Tera katika nchi aliyozaliwa, yaani, katika Uru wa Wakaldayo.
Mwanzo 11:29 Abramu na Nahori wakajitwalia wake. Jina la mkewe Abramu aliitwa Sarai, na jina la mkewe Nahori aliitwa Milka, binti Harani, ambaye alikuwa baba wa Milka na wa Iska.
Mwanzo 11:30 Na Sarai alikuwa tasa, hakuwa na mtoto.
Mwanzo 11:31 Tera akamtwaa Abramu mwanawe, na Lutu mwana wa Harani, mwana wa mwanawe, na Sarai mkwewe, mke wa Abramu mwanawe, wakatoka wote katika Uru wa Wakaldayo, waende nchi ya Kanaani, wakafika mpaka Harani wakakaa huko.
Mwanzo 11:32 Siku za Tera zilikuwa miaka mia mbili na mitano; Tera akafa katika Harani.

{Bado hujaelewa tu. Karibu kwa Yesu Kijana}
Dini ya Uislamu ni Dini ya Majini, inachofanya ni kuwazuga kuwa ni Dini ya Mungu. Kwa kuokoteza Aya za Biblia ili kuwazuga.
Hivi hujiulizi Qurani imeandikwa Maka kwa Waarabu, Mwarabu pekee aliyetajwa na Qurani ni Muhammadi.

Ili Qurani iaminike kwa upotoshaji wake ilibidi ujiegemeze kwenye Biblia, na mwisho ikaishia kuitukana Biblia.

Kama una swali niulize,
Hivi Muhammadi alikuja kusema nini kipya ?
 
Mkuu!
Unaielezeaje hii aya?

وَجَاهِدُوا فِي اللَّهِ حَقَّ جِهَادِهِ ۚ هُوَ اجْتَبَاكُمْ وَمَا جَعَلَ عَلَيْكُمْ فِي الدِّينِ مِنْ حَرَجٍ ۚ مِّلَّةَ أَبِيكُمْ إِبْرَاهِيمَ ۚ هُوَ سَمَّاكُمُ الْمُسْلِمِينَ مِن قَبْلُ وَفِي هَـٰذَا لِيَكُونَ الرَّسُولُ شَهِيدًا عَلَيْكُمْ وَتَكُونُوا شُهَدَاءَ عَلَى النَّاسِ ۚ فَأَقِيمُوا الصَّلَاةَ وَآتُوا الزَّكَاةَ وَاعْتَصِمُوا بِاللَّهِ هُوَ مَوْلَاكُمْ ۖ فَنِعْمَ الْمَوْلَىٰ وَنِعْمَ النَّصِيرُ

(AL -HAJJ - 78)
Na fanyeni juhudi kwa ajili ya Mwenyezi Mungu kama inavyo stahiki jihadi yake. Yeye amekuteueni. Wala hakuweka juu yenu mambo mazito katika Dini. Nayo ni mila ya baba yenu Ibrahim. Yeye (Mwenyezi Mungu) alikuiteni Waislamu tangu zamani, na katika hii (Qur'ani) pia, ili awe Mtume shahidi juu yenu, na nyinyi muwe mashahidi kwa watu. Basi shikeni Sala na toeni Zaka na shikamaneni na Mwenyezi Mungu. Yeye ndiye Mlinzi wenu, Mlinzi bora kabisa, na Msaidizi bora kabisa.

22:78 Quran
Strive for ˹the cause of˺ Allah in the way He deserves, for ˹it is˺ He ˹Who˺ has chosen you, and laid upon you no hardship in the religion—the way of your forefather Abraham. ˹It is Allah˺ Who named you ‘the ones who submit’1 ˹in the˺ earlier ˹Scriptures˺ and in this ˹Quran˺, so that the Messenger may be a witness over you, and that you may be witnesses over humanity. So establish prayer, pay alms-tax, and hold fast to Allah. He ˹alone˺ is your Guardian. What an excellent Guardian, and what an excellent Helper!

Ndugu!Katika matumizi ya Lugha,Jina utafsiriwa kama walivyofanya hao wazungu?.
 
Mimi sijali mwanzo,mwisho au matayo...kumjua baba wa Ibrahim mi inanisaidia nini!!?.. QUR'AN siyo kitu kipya ni maagizo yaleyale waliopewa yesu,Ibrahim,Musa,nuhu,lut nk..kwamba Mungu muumba wa mbingu na ardhi ni mmoja,Hana mwana Wala mshirika,hakuzaliwa na Wala hafanani na chochote,na kwamba watu wasile nguruwe,ukitaka kipya kawasikilizr diamond,rayvany,young killer
 
IBRAHIMIC RELIGIOUS BELIEFS, CHRISTIANITY, ISLAMIC, AND JEWISM, JUDAISM, Ni Imani za baba mmoja mwenye watoto wengi, wenye mtazamo tofauti.
 
Umeelewa sasa , habari za kuadithiwa hakuna anae jua ukweli wa mambo piga kimya
Wewe unatumia kichwa kukalia bila shaka. Nashindwa hata nianzie wapi kukuelewesha. Hutaelewa. Rudisha kichwa mahali pake na matako mahali pake. Then nitajaribu kukuelewesha
 
Wewe unatumia kichwa kukalia bila shaka. Nashindwa hata nianzie wapi kukuelewesha. Hutaelewa. Rudisha kichwa mahali pake na matako mahali pake. Then nitajaribu kukuelewesha
Hauna cha kunielewesha wewe, vitu vya kuhadithiwa hakuna mwenye kujua ukweli wa mambo , hili wala haliitaji akili nyingi kuelewa
 
Nikuulizwe swali ukilijibu nitakuuliza lingine: Je Wayahudi ni waislam???
 
Hiyo ni Dini ya Majini.
Kama huelewi endelea nayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…