Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Wanaogopa reaction ya Wakristo. Rejea barua ya TEC ilivyowanyamazisha.
Toa ungeseeerrrrrr wako hapa...

Kwa hiyo waislamu walitakiwa waivamie ikulu kisa tu masheikh wa UAMSHO walikuwa mtondooni miaka 9?!!!

Hivi wewe ni shouugeer?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Ngoja atoke
Sipati picha speech yake
Ataongea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii adhabu labda itakiweka kichwa chake vizuri maana alishapitiliza mstari wa hekima
 
Toa ungeseeerrrrrr wako hapa...

Kwa hiyo waislamu walitakiwa waivamie ikulu kisa tu masheikh wa UAMSHO walikuwa mtondooni miaka 9?!!!

Hivi wewe ni shouugeer?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Vitusi vyako ni beneath me. Waislamu mwenzao ameingia amewatoa au unadhani wametoka kwa miujiza? Hata huo mchungaji Wakristo wenzake watamtoa. Narudia rufaa yake itafanikiwa.
 
Alafu hiyo NYIMBO ya mnatuona Nyani tu ndio nimetoka kuiskiliza hapa HAHAHAHAH hawa walikuwa wanajiamini nini? kwanza walikuwa hawaimbi INJILI ile nyimbo sio ya Kidini.

Alafu mbaya zaidi huyo MZEE kumbe na yeye alionekana katika video alafu mbaya zaidi na yeye alikuwa anacheza kama NYANI na KUZOMEA kama NYANI..

Hahahahaha.. huyo kazi anayo.
 
Hawa mahakimu punguani, wanafanya hivyo wakiamini wanamsaidia Samia kumbe wanautumbukiza utawala wake shimoni.

Hapa ni kama Samia ameamua kuwafunga wakristo gerezani.
 
Serikali haingilii uhuru wa kuabudu....

Ila serikali ni lazima idhibiti vitu vyote kupitia SAJILI....

La kujiuliza.....yanapotokea makosa ya KIJINAI huko katika nyumba za ibada nayo serikali ikae pembeni ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Ni ujinga mtupu.

Serikali hii iliyojaa uovu, eti inataka idhibiti ibada! Haishangazi shetani kutaka kuwadhibiti watu wanaoonekana wapo kinyume chake.
 

Kwaiyo mchungaji alizaa akiwa na miaka 14 maana mtoto wake anamiaka 25
 
Sheria inayoruhusu kuanzisha nyumba za ibada inasemaje ikibainika nyumba ya ibada haina usajili?
Nakubali kwamba ana makosa kuanzisha huduma ya kiroho bila usajili, ila swali langu ni kwamba serikali ilikua wapi siku zote? Huduma za namna hii zipo nyingi sana zinatupigia kelel mitaani na hazijasajiliwa na hakuna anaefatilia, ila ikitokea mtu amejiingiza kwenye siasa ndio wanachimbua makosa yake yote

Tuwaombe serikali wafanye kazi yao kwa uaminifu wasisubiri.mpaka watu wajiingize kwenye siasa
 
"samiah mama yangu,unainajisi ardhi ya TANZANIA KWA hayo,nani KWA kwambia hao HUWA wananyamazishwa hivyo!!?

Unapambana na nani mama yangu"!?

Unafikiri unapambana nae huyo anaefungwa!!?unapambana na aliekuumba Mama"

Nakuonya tu mwachie!!

Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo sana
 
Kama hana kibali funga hata miaka kumi
 
Si wafunge kanisa tu? Sasa kumfunga mbona havina uhusiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…