Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,830
- 6,315
Wanaogopa reaction ya Wakristo. Rejea barua ya TEC ilivyowanyamazisha.Kwamba wanamwogopa nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaogopa reaction ya Wakristo. Rejea barua ya TEC ilivyowanyamazisha.Kwamba wanamwogopa nini?
Hahaha hawa jamaa wana imani za ajabu.Kwamba wanamwogopa nini?
Si umeona hapo amehukumiwa miaka mitatu? Hukumu ikitoka ni hapo hapo wanakusweka ndani.Sawa, tuone hili suala litaishia wapi. Kwa maoni yangu huyo mchungaji hataenda ndani.
Beba wewe na familia yako tukuone kwanzaHili linatosha kumuondoa Sa100 madarakani. Watanzania acheni uzombi. Mtafungwa wote.
Bebeni hata marungu muingie ikulu.
Serikali haiwezi sote kutuajiri....Labda huko kwenu kuna umeme, petroli, bei ya vyakula imeshuka, ajira zimeongezeka na mafisadi wanafikishwa mahakamani
Toa ungeseeerrrrrr wako hapa...Wanaogopa reaction ya Wakristo. Rejea barua ya TEC ilivyowanyamazisha.
Hiyo hukumu inaenda kuvunjwa kwenye rufaa.Si umeona hapo amehukumiwa miaka mitatu? Hukumu ikitoka ni hapo hapo wanakusweka ndani.
Hii adhabu labda itakiweka kichwa chake vizuri maana alishapitiliza mstari wa hekimaMchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali.
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”, amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kibali.
Akizungumza na JamiForums, Wakili Boniphace Mwabukusi amesema “Kweli amehukumiwa lakini Mchungaji alifuata machakato wa kuomba vibali japo Serikali ndio ilikuwa ikichelewesha ukamilishwaji, pia Sheria inasema mtu ambaye yupo katika mchakato wa maombi hawezi kushtakiwa."
Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."
Pia soma: 'Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi' Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uuchochezLabda
=================
Vitusi vyako ni beneath me. Waislamu mwenzao ameingia amewatoa au unadhani wametoka kwa miujiza? Hata huo mchungaji Wakristo wenzake watamtoa. Narudia rufaa yake itafanikiwa.Toa ungeseeerrrrrr wako hapa...
Kwa hiyo waislamu walitakiwa waivamie ikulu kisa tu masheikh wa UAMSHO walikuwa mtondooni miaka 9?!!!
Hivi wewe ni shouugeer?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Afadhali ya ShetaniDaah hii serikali ina undugu na shetani. Shetani hana huruma
Ni ujinga mtupu.Serikali haingilii uhuru wa kuabudu....
Ila serikali ni lazima idhibiti vitu vyote kupitia SAJILI....
La kujiuliza.....yanapotokea makosa ya KIJINAI huko katika nyumba za ibada nayo serikali ikae pembeni ?!!! [emoji15][emoji15][emoji15]
Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali.
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”, amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kibali.
Akizungumza na JamiForums, Wakili Boniphace Mwabukusi amesema “Kweli amehukumiwa lakini Mchungaji alifuata machakato wa kuomba vibali japo Serikali ndio ilikuwa ikichelewesha ukamilishwaji, pia Sheria inasema mtu ambaye yupo katika mchakato wa maombi hawezi kushtakiwa."
Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."
Pia soma: 'Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi' Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
=================
Nakubali kwamba ana makosa kuanzisha huduma ya kiroho bila usajili, ila swali langu ni kwamba serikali ilikua wapi siku zote? Huduma za namna hii zipo nyingi sana zinatupigia kelel mitaani na hazijasajiliwa na hakuna anaefatilia, ila ikitokea mtu amejiingiza kwenye siasa ndio wanachimbua makosa yake yoteSheria inayoruhusu kuanzisha nyumba za ibada inasemaje ikibainika nyumba ya ibada haina usajili?
Sawa ila si wanaweza weka tarehe za mbele huko.. unakuta kesi inatupw mwakan mwez wa 2. Ndio tutaskiliza rufaa.Hiyo hukumu inaenda kuvunjwa kwenye rufaa.
Si wafunge kanisa tu? Sasa kumfunga mbona havina uhusiano?"samiah mama yangu,unainajisi ardhi ya TANZANIA KWA hayo,nani KWA kwambia hao HUWA wananyamazishwa hivyo!!?
Unapambana na nani mama yangu"!?
Unafikiri unapambana nae huyo anaefungwa!!?unapambana na aliekuumba Mama"
Nakuonya tu mwachie!!
Mungu ibariki Tanzania nchi yetu niipendayo sana