Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Mna hakika Sifa Bujune (25) ni mwanawe na sio kondoo wa mchungaji

39 - 25 = 14.

Je ni kweli mchungaji kapata mtoto akiwa nae mtoto?

Walianza kucheza lini.

Wakaoana lini.


 
Awamu hii watu waliokataa kusifu na kuabudu pamoja na uchawa wanaonekana wachochezi. Mene Mene tekeli na peresi kwenu CCM.
Wazunguke tz nzima kuwafunga watu wenye ministries zisizo na vibali.

Hata hapo Mbeya zipo nyingi tu.


Mwakipesile akitoka atapiga spana hatari [emoji23]
 
Samia takataka at her best, ameivuruga nchi, Tanzania sasa haijurikani kichwa kiko wapi, mkia upo wapi?
Wakati wa UNGA(United nation general Assembly), kaingia mitini, hakwenda kutoa hotuba, limejifungia kizimkazi linakula urojo, na kufanya uteuzi kimakengeza!
Kuna issue ya, Amani ya nchi ya Haiti, si wizara ya mambo ya nje, wala wizara ya ulinzi, wala inteligensia yetu inayoliongelea na kutoa mikakati,
Watani zetu Kenya(Ruto)wakaona fulsa ya kuiweka Kenya kwenye ramani(katika ulinzi na usalama), wanajiandaa kupereka vikosi maalum vya polisi kutuliza amani, na kuirejesha Haiti katika Hari ya usalama, Samia yupo wapi! Lipo linarembua macho na kufanya uteuzi tu! So pathetic!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah!


Ila huyu Mama kama kweli yupo humu JF basi ni mvumilivu sana[emoji119]


Unaweza kuugua presha aisee
Siyo kwa haya matusi [emoji119][emoji119]
 
Walokole wengi wanahubiri uongo kupata fedha za wapumbavu
 
Shida si bwana Mbarikiwa kufungwa nawaza akiendelea na zile movement zake huko gerezani je wafungwa hawatomuunga mkono wabomoe magereza yetu ?

Maana lijamaa linao uwezo wa kushawishi yasije kuwa makubwa zaidi ya "MNATUONA NYANI "
 
Shida si bwana Mbarikiwa kufungwa nawaza akiendelea na zile movement zake huko gerezani je wafungwa hawatomuunga mkono wabomoe magereza yetu ?

Maana lijamaa linao uwezo wa kushawishi yasije kuwa makubwa zaidi ya "MNATUONA NYANI "
Mimi mwenyewe nimewaza hivyo
Kama wakimfunga wanadhani wamemkomoa basi anaenda kunwaga ugali huko jela[emoji1787]
 
Andrew Kansimbo anaenda kupata adhabu ya Mungu kali sana very soon, Mungu hadhihakiwi daima Mungu ni Mkuu
 
Suguye hakufungwa alifungiwa akamilishe vibali hizi dabo standard sio wao ndio wamemnyima kibali
 
Sasa yakiwafika mambo, tusianze kuombana misaada huku nje. Mnapambana na watemi kimya kimya.
Hayo ni maisha ya kawaida.Ata Moo alipotekwa familia yake ilitoka kuomba msaada kwenye jamii.Socilization ni muhimu sana ata kama unajitosheleza au unaharibu.Ndo maana ata msiba wa jambazi wako waombolezaji.
 
Mna hakika Sifa Bujune (25) ni mwanawe na sio kondoo wa mchungaji

39 - 25 = 14.

Je ni kweli mchungaji kapata mtoto akiwa nae mtoto?

Walianza kucheza lini.

Wakaoana lini.
MTOA POST kapotosha...

kwanza huyu mwamba hana mtoto . mtoto wake alikuwa anaitwa Wokovu. alifariki Hospital ya kanda ya rufaa ya Mbeya kwa dalili za kuumwa kichwa - sija jua hospital waligundua ana ugonjwa gani (baba mtu ana sema watu wa suti za kaunda walimuua) kwa hiyo Sifa Bujune ni Mtoto wake wa kiroho

pili huu mgogoro ni wa kitamboo sana.. kwa hiyo hakuna uhusiano na issue ya wimbo wala bandari
 
Kumfunga Mchungaji kisa kibali aisee hiyo karma yake tupo hapa Mungu hazihakiwi hata kidogo wezi kwenye taarifa ya CAG wapo wanadunda tu wanaofundisha mambo ya Dini wanafungwa sio sawa naona hawana tofauti na Shetani kwa hukumu hizo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…