Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Natokea pande hizo, ila hayo mapinduzi utayasubiri mpaka ufe tukuzike bila kutokeaMapinduzi kwa watawala yataanzia Mbeya, Songwe na Mara
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Natokea pande hizo, ila hayo mapinduzi utayasubiri mpaka ufe tukuzike bila kutokeaMapinduzi kwa watawala yataanzia Mbeya, Songwe na Mara
Ni GOOGLE vizuri hata huko nyuma nilikwisha sema mimi ni Mkristu wa madhehebu ya RC. Lakini lazima niseme kweli wakati hivi vidhebu uchwara vya kipentekoste vinaharibu UKRISTU wetu woteSawa Mudi
Mwaka gani?Hivi unajua Nyerere alilipiga marufuku kanisa/dhehebu la Mashahidi ya Yehova? Kila kitu kinataratibu zake sio holelaholela
Ni kweli kabisa.Hili halina ubishi wowote kuwa wamemwonea huyu mchungaji...
Wametumia kigezo cha "kanisa kutokuwa na usajili" ili kumfunga lakini nyuma ya pazia ni chuki za "wakubwa" tu ndani ya serikali kwa mtu huyu kwa sababu jamaa huwa anausema uovu na madhambi yao hadharani mchana kweupe bila kupepesa macho!
Nyuma ya huu mgogoro na kumfunga jela Mch. Mbarikiwa Mwakipesile, yupo Dr Tulia Ackson (Spika wa Bunge la JMT) na ndiye anaye dictate kila kitu huku polisi na baadhi ya maafisa wa TISS wakiongozwa na RSO wa Mbeya wakiwa kama mbwa tu wa kuambiwa uma hapo, acha pale....
Kama ni ishu ya usajili wa taasisi za kiimani na kidini zinazoendesha shughuli zao za kiimani na ibada, basi ziko nyingi sana kwa mamia ambazo ziko kienyeji tu zimezagaa nchi nzima zikiendelea na shughuli zao
Wafunge na sheikh wa msikiti tuone.Yaani mchungaji kufungwa jela ndo iwe sababu tosha ya kumuondoa Samia madarakani?
Zipo sababu za msingi sio hii.
Wewe unavyosema madhehebu ya mwenzako ni ya kishenzi, na mwenzako anasema madhehebu yako ni ya kishenzi.Madhehebu ya kishenzi yanafahamika, mengi ni haya ya walokole
Ukomunisti ulijaribu kupiga marufuku dini.Serikali inaweza wala usilete ngonjera zako hapa. Unawalinganisha hawa washenzi na crusaders wakati wa byzantine era? You are wrong on that na hujamuelewa kabisa huyo anayeitwa Mbarikiwa. Mbarikiwa ni mental case and unfortunately anajenga cult yake.
Nafuu TUILAUMU Serikali wakati huu, kuliko TUJE TUILAUMU wakati Mwakipesile anachoma wafuasi wake.
Hii serikali mkiiendekeza itawabadilishieni Kibla muangalie Chamwino Dodoma badala ya Maka.Hivi misikiti lazima ipate vibali vya serikali hata Ile midogo isiyo ya ijumaa?
Serikali ya Samia mnataka wenyewe maswali kama haya muanze kuita watu wachochezi wa kidini.
Yaani dini iruhusiwe kuitukana Serkali. Ni wapi Quraan au Biblia inasema Rais ni nyani?Kwamba Nchi haichanganyi dini na siasa ma bado inadhibiti Dini
Madhehebu ya kishenzi yapo, yanamwita Rais eti ni nyani. Inawezekana kabisa huyu baba ema ni shoga au analala na hiyo bi to yake, sintoshangaa huu uhuru holela unaosemwa. Baadaye itakuwa kanisa la kifisadi kama sodoma na ghomora huyu askofu a atembeaxna hawo waombaji wote. Tulishayaona, ni lazima kuyawahi.Wewe unavyosema madhehebu ya mwenzako ni ya kishenzi, na mwenzako anasema madhehebu yako ni ya kishenzi.
Haponi mtu hapo.
Serikali ijikite kuwekeza kwenye elimu iki watu waweze kuchagua mbivu na mbichi vizuri.
Ikijiingiza kwenye kufungia makanisa kwa sababu hayana usajili itakuwa inakosea sana na inaanzisha moto isioweza kuuzima.
Sawa, ila msome vizuri huyo YESU utajua changamoto alizopitia. Mbingu sio mchezo ila kuna mataji kutokana na kile ulichokifanya.Ni GOOGLE vizuri hata huko nyuma nilikwisha sema mimi ni Mkristu wa madhehebu ya RC. Lakini lazima niseme kweli wakati hivi vidhebu uchwara vya kipentekoste vinaharibu UKRISTU wetu wote
Hivi vitu vinahitaji akili kubwa ndugu, Unataka ushahidi subiri utaukuta siku ya Judgement, alafu sio kila kinachofanyika ukitii tu, utasubiri sana ukombozi si lelemama ndugu.Ushahidi huo unao ?!!!
Wewe una HALLUCINATIONS?!!![emoji15][emoji1787]
Ni "auditory"?!!!
BWANA ASEMA....TIINI MAMLAKA!
Mmh hayo maneno umeyaona wapi? Punguzeni mahaba basi msikilize kwa makini na mpende kufatilia taarifa kwa usahihiYaani dini iruhusiwe kuitukana Serkali. Ni wapi Quraan au Biblia inasema Rais ni nyani?
Britanicca Kaka ni Mambo ya Kushangaza sana.Kwani Mtu akiendesha Kanisa bila kibali anafungwa yeye au linafungiwa Kanisa!!!?
Well saidKuna wavunjaji wengi sana wa sheria nchini. Ila wamekuwa wakiachwa wafanue wapendavyo, kwa sababu tu hawayagusi maslahi yenu/hawawakosoi.
Hawa wanaojitokeza hadharani kuwakosoa, ndiyo mnawatafutia zengwe. Na huu ndiyo utaratibu wenu kwa miaka nenda. Kutisha/kuwakomoa wapinzani wenu..
lakini kelele zake zilileta nabadiliko, sio bureLichizi hilo....
Eti anatuhumu DG wa TISS amemuua mwanaye....[emoji15][emoji15][emoji15]
Mental case
Wale UAMSHO walikuwa ni wachungaji?!![emoji15]Wafunge na sheikh wa msikiti tuone.
[emoji7][emoji7]Yaani dini iruhusiwe kuitukana Serkali. Ni wapi Quraan au Biblia inasema Rais ni nyani?
Ukombozi upi?!!!Hivi vitu vinahitaji akili kubwa ndugu, Unataka ushahidi subiri utaukuta siku ya Judgement, alafu sio kila kinachofanyika ukitii tu, utasubiri sana ukombozi si lelemama ndugu.