Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Kwa nini unataka kumlazimisha mtu asiyetaka kuongeza damu kwa imani yake aongeze damu?
 
Ni uonevu na ukiritimba wa serikali tu, kama suala ni makanisa ambayo hayana usajili, yako mengi sana.

Na licha ya hilo, serikali haitakiwi kulazimisha makanisa yapate usajili.
 
Mwaka 1967 ndiyo Nyerere aliyapiga marufuku hawa mahayawani wa Mashahidi wa Yehova.

Utakataaje kumuongozea mgonjwa damu kama siyo uhayawani?
Hapana nakumbuka kipindi cha siasa za ujamaa na kujitegemea, liliibukuka kundi fulani sikumbuki vizuri kama ni mashahidi wa Yehova, ambapo wahumini hawakutakiwa kufanya kazi yoyote zaidi ya kuomba tu.
Walinikuu mistari ya Biblia kuwa ndege wa angani hawalimi,hawavuni wala hawapandi lakini wanakula na kushiba.
Kundi hilo likapigwa marufuku.
 
Serikali inamini wale wavaa majoho ndo wapo karibu sana na Mbingu.

Mahakama inatumika vibaya.

BTW
Mchungaji amepelekwa kufanya injili non stop gerezani.

Haki hakuna nchi hii
 
Asante sana serikali kwa kumshtaki mbarikiwa na hatimaye mahakama kumfunga miaka 3.

Nawaomba mchukue hatua hiyo hiyo dhidi ya miskiti isiyo na usajili, kumeibuka baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu kuikejeli BAKWATA na kuchukua hatua ya kujenga miskiti yao na kuchagua viongozi then wanaanza ku operate.

Ni vizuri miskiti hii yote iliyo jazana kila kona ifungiwe pia.
 
Mbarikiwa ndie nani??
 
Na yale makelele yao aseee tuige Rwanda..ila boss bandari inakutokea puani🙄
 
kikubwa dini ziache kujiingiza kwenye mambo ya siasa na wanasiasa watuachie mambo yetu ya dini. Watuache tuwaombee ili nchi iwe na amani na wasituibie keki za taifa.
 
Sawa boss la DP world ila ole wako tukuone tanzania.utakuwa halali yetu
 
Hilo la misikiti tayari walikwisha lifanyia kazi ila hawakupata ushahidi ila kama unao wapelekee.
 
Kama wewe ni kidume kweli, au ndugu zako tokeni barabarani mupaze sauti "Hakuna kutoa adhana kwenye spika" hebu jaribuni muone mkuu., kitakachowakuta mtahadithia, au nenda jiji lenye waislamu wengi Tanzania Darussalaam kama mtatoka salama
 
Haki ya Nani Nimecheka sanaaaa Mpaka Nigongwe na Piki piki kaka…Saa Account yake tena???Unataka Kuidukua??[emoji851][emoji16][emoji16][emoji23][emoji28]
Kama umecheka unastahili kulipwa, naomba acc no yako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…