Ismoo
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 1,101
- 1,573
Unaongea pumba gani wee kima..?Kama wewe ni kidume kweli, au ndugu zako tokeni barabarani mupaze sauti "Hakuna kutoa adhana kwenye spika" hebu jaribuni muone mkuu., kitakachowakuta mtahadithia, au nenda jiji lenye waislamu wengi Tanzania Darussalaam kama mtatoka salama
Mbona kwa KAGAME mliuftyata mkia?
Nenda hata leo kama utasikia azana mitaani jijini kigali. Kwani hamuwezi kuswali kimya kimya bila kumkera mtu?
Unakuta usiku umelala zako mara paap unaamshwa na mtu anae swali kwa sauti kubwa. Kuswali kwa sauti kubwa ni kelele swali bila kumkera mwingine mungu ana sikia dua zako hata ukiomba kimya kimya.
Tatizo lenu mkiambiwa mna kuja juu utafikiri mmeguswa mikund* wakati haya mambo yanaeleweka kabisa.