Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Kama wewe ni kidume kweli, au ndugu zako tokeni barabarani mupaze sauti "Hakuna kutoa adhana kwenye spika" hebu jaribuni muone mkuu., kitakachowakuta mtahadithia, au nenda jiji lenye waislamu wengi Tanzania Darussalaam kama mtatoka salama
Unaongea pumba gani wee kima..?

Mbona kwa KAGAME mliuftyata mkia?

Nenda hata leo kama utasikia azana mitaani jijini kigali. Kwani hamuwezi kuswali kimya kimya bila kumkera mtu?

Unakuta usiku umelala zako mara paap unaamshwa na mtu anae swali kwa sauti kubwa. Kuswali kwa sauti kubwa ni kelele swali bila kumkera mwingine mungu ana sikia dua zako hata ukiomba kimya kimya.

Tatizo lenu mkiambiwa mna kuja juu utafikiri mmeguswa mikund* wakati haya mambo yanaeleweka kabisa.
 
Kesi namba ngapi na namba ngapi zilifunguliwa?
Haikuwa kesi na ushahidi hauhusiani na kesi, kwa kifupi misikiti yote jata ile inayoiona kwenye viwanda, masoko, vyuo na vituo vya mafuta(sheli!) vyote vimesajiliwa, ila kama unaujua msikiti ambao jaujasajiliwa kwa bahati mbaya peleka taarifa haraka kwenye ofisi yoyote ili hatua zichukuliwe.
 
Mwambienihuyo mcheza vigodoro muda utazungumza
 
Unaongea pumba gani wee kima..?

Mbona kwa KAGAME mliuftyata mkia?

Nenda hata leo kama utasikia azana mitaani jijini kigali. Kwani hamuwezi kuswali kimya kimya bila kumkera mtu?

Unakuta usiku umelala zako mara paap unaamshwa na mtu anae swali kwa sauti kubwa. Kuswali kwa sauti kubwa ni kelele swali bila kumkera mwingine mungu ana sikia dua zako hata ukiomba kimya kimya.

Tatizo lenu mkiambiwa mna kuja juu utafikiri mmeguswa mikund* wakati haya mambo yanaeleweka kabisa.

Inakukera nini sauti ya adhana? Haizidi dakika 5 amemaliza, je! Na wale ndugu zako mnaokesha nao usiku mzima na kutupigia kelele! So, utafananisha na ibada zetu!

Narudia tena, jichanganye uingie barabarani aise ukitoka salama una bahati. Nenda mkoa wowote ule, especially ukanda wa pwana, tanga kuja kanda ya ziwa, aise utajuta.
 
Utajuta wewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Dah!

Ila huyu Mama kama kweli yupo humu JF basi ni mvumilivu sana[emoji119]

Unaweza kuugua presha aisee
Siyo kwa haya matusi [emoji119][emoji119]
But she deserves it , hebu ona rais hadi leo anaunda serikali TENa ananagali nani amemsifu ndo anapewa uteuzi
 
[emoji1787][emoji1787]
Hii ni sawa na kumpiga teke chura, unamwongezea kasi.
Huko jela ndio kumejaa roho zinazohitaji wokovu. Bila shaka yoyote Mchungaji atapokea hiyo fursa adhimu kwa mikono miwili.
Wenyewe wanasema, "fate" ikikutupia ndimu, ipokee kwa mikono mowili, ikamua na kutengeneza Juisi nzuri ya ndimu a.k.a Lemonade.
 
Nachukua fursa hii kuiomba mamlaka kumwachia Mtumishi wa Mungu Mchungaji Mbarikiwa!!

Anayeonya, anayekaripia, anayefundisha ni Mungu,

Anayeongea ni Mungu kupitia kinywa Cha Mchungaji Mbarikiwa!!

Nakumbuka yaliyojiri alipokamatwa Askofu Mwamakula..

Watumishi wa Mungu wa Kweli ni Mboni ya jicho lake Mungu.

Akinyamaza Mbarikiwa na Mawe yakaongea itazua taharuki.

Tafadhari sana.🙏
 
Nachukua fursa hii kuiomba mamlaka kumwachia Mtumishi wa Mungu Mchungaji Mbarikiwa!!

Anayeonya, anayekaripia, anayefundisha ni Mungu...
Mbarikiwa wa nini yule? Ile Mwakipesile ni mental case, inaropoka ropoka tu. Na imekutana na watu waliokuwa frustrated naye anadai ana kanisa. Muache atumikie kifungo chake labda akili itankaa sawa. Hakuna kucheka na nyani
 
Back
Top Bottom