Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hapo unaelekea kwenye Ukomunisti na jinsi Ukomunisti ulivyojaribu ku control dini, ukashindwa.Unaweza kuabudu 'roho' ukiwa nyumbani kwako.
Kitendo cha kutenga eneo la pamoja kwa ajili ya huduma sio tu za 'kiroho' tayari mnafanya makutano yanayohitaji ithibati ya ulinzi wa watu wanaokutana.
Kwanini usajili wa nyumba za ibada unafanyika Wizara ya Mambo ya Ndani wakati usajili wa Asasi za Kiraia unafanyika Wizara ya Maendeleo ya Jamii, hali ya kuwa na dini ni miongoni mwa Asasi za Kiraia?
Uhuru wa kuabudu ni haki ya kikatiba, ni haki ya kibinadamu.
Ukishaanza kuusajikisajili serikakini uhuru huu, unatengeneza namna ya serikali kuuingikia uhuru huu.
Waacheni watu waabudu bika kuingikiwa na serikali.
Wakifanya uhalifu, washughulikiwe tu na sheria.
Ukianza kutaka nyumba za ibada zisajiliwe, mimi nikiwa nakutana na jirani zangu kwa faragha za kuabudu nyumbani kwangu napo utataka nisajiki nyumba yangu? Where do you draw the line?
Hii habari inatuonesha kabisa jinsi gani serikali inavyotumia hivi vibali kuwanyamazisha watu wenye maoni ya kukisia serikali.
Hivi vibali vinavunja katiba, vinavunja haki za binadamu.
Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app