Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Watanzania ni wazito...Sheria za wapi hizi? Kwamba ukiwa mpole hata kama huna vibali unaruhusiwa kufanya kazi, haiwezekani mtu aoperate miaka mitatu ndo wahusika wagundue Hana vibali, wanafanya kazi Gani sasa?
Au ndo Yale ya the cask kuonyesha bango la kupinga dp world... Kesho yake halmashauri na tra wakafurika bar kuwafungia kua hawana vibali?
Serikali imeamua kuishi vyema na raia wake "wazito".....
TATIZO hutokea pale tu wanapovuka mipaka.....
Kwanini UPENDE KUONGEA MBELE ZA WATU ilihali unanuka mdomo "kigonjwa" ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]