FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Huu ni udini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ina maana mchungaji hana utashi wake?Mchungaji aache kutumiwa kisiasa na wale jamaa.......[emoji1787][emoji1787]
Si ndo hapo sasa😅Uko ndani ya gari halafu unaanzisha ugomvi wa MAWE?!!! [emoji1787][emoji1787]
Nawe ni shetani mwenzie!Yaani mchungaji kufungwa jela ndo iwe sababu tosha ya kumuondoa Samia madarakani?
Zipo sababu za msingi sio hii.
Mkuu,Asiye na imani ya dini ndiye amekuwa mkweli na mpenda haki kuliko wenye dini zao wanaofunga wenye dini wenzao.
Nyote mnaokenua meno kwa dhuluma kama hizi, soon mtalia na hao mashetani viongozi wenu!Unaishi nyumba ya vioo halafu unautaka ugomvi wa mawe?!!! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#SiempreJMT[emoji120]
Ni ujinga serikali kuoneshana ujanja na raia wake, wakati umeme umemsinda.Siku zite iko hivi, Ukiwa Mstaarabu
hata kama una mapungufu watu hukupuuza ila ukijikuta mjanja watu watataka wakuonyeshe kua hujui.
Ukiamua kukosoa wenzio hakikisha uko smart.
Uko sahihi sana mkuuMkuu,
Mimi naangalia haya mambo kwa mawanda mapana zaidi.
Kiufupi, uhuru wa kuabudu na uhuru wa kutoabudu ni pande mbili za sarafu ile ile moja, uhuru kwenye ibada na freedom of conscience.
Hata kama mimi siamini dini, nasimamia haki za watu kuwa huru katika mambo ya ibada, wawe huru kuabudu au kutoabudu, wanavyotaka.
Nikiruhusu uhuru wa kuabudu wa mtu uingiliwe na serikali, kwa kujua au kutojua, nitakuwa nimeruhusu hata uhuru wangu wa kutoabudu uingiliwe na serikali vile vile.
Ukishaanza kuiruhusu serikali ilazimishe kusajili nyumba za ibada, neno ilazimishe ni muhimu sana hapa, ndiyo utakuwa umeanza kupiga hatua ya kuelekea kuiruhusu serikali kusema ni lazima kila mtu ahudhurie nyumba za ibada zilizosajiliwa na serikali, wakati kuna watu hatutaki kuhudhuria nyumba yoyote ya ibada.
Kwa hivyo, mtu ambaye hana dini, na anafurahia habari hii kwa sababu hana dini, hajaelewa kua habari hii inaweza kumuathiri hata yeye asiye na dini.
Achana na Kagame anamuongelea Rais wa Tanzania wa Sasa.UHAINI....
Watu kama ninyi bwana Paul Kagame wala hawaachi mkaishi kwa raha na amani....
Wewe ni SARATANI.....
makanisa ndio yanayowalea hao wapiga Kura.Yaani mchungaji kufungwa jela ndo iwe sababu tosha ya kumuondoa Samia madarakani?
Zipo sababu za msingi sio hii.
😅 Kwamba kuoneshana ujanja...Ni ujinga serikali kuoneshana ujanja na raia wake, wakati umeme umemsinda.
Ataondolewa tu maana mwenye Mamlaka hapendi uonevu usio na sababu na Mwenyezi Mungu anawachukia sana wapumbavu.Yaani mchungaji kufungwa jela ndo iwe sababu tosha ya kumuondoa Samia madarakani?
Zipo sababu za msingi sio hii.