Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Baba wa Mwimbaji wa Injili aliyeimba "Mnatuona Nyani tu" ahukumiwa miaka 3 jela kwa kuendesha Kanisa bila kibali

Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali...
Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makubwa...kwamba wameshindwa kufungia Kanisa mpaka wamfunge yeye??.

Kila siku nawaambia, Kiongozi Mjinga wa akili Huwa anatumia Nguvu na Mamlaka kupambana na kile anachokiona ni changamoto.

Huyu mwanamke ni Mbumbumbu mtupu kichwan, Elimu yake iko wazi, alifeli feli sana shulee , ni vile CCM ukiwa mpiga Domo, ukajiamin tuuu ,tayari wanakuona unafaa ,alichobakiza ni mamlaka ambayo kwake ni kubwaaaa.

KataaKiongoziMbumbumbu !!.
KataaVitadhidiyaUkristo.
 
Tayari wameshamfix, nilisema huyu jamaa vipi serikali inamwangalia tu na uropokaji uliovuka mipaka?

Nilihisi amechanganyikiwa lakini baadae nikaona kuna watu walikuwa nyuma yake sasa wamemwingiza cha kike, pamoja na yote ila kale ka nyimbo cha nyani ukiwa na bia mbili tatu kichwani kanachezeka!
 
Yaani mchungaji kufungwa jela ndo iwe sababu tosha ya kumuondoa Samia madarakani?

Zipo sababu za msingi sio hii.
Hahahahhahahahahah[emoji23][emoji23] nimecheka Tena yaani mwna Ni mjinga mno yaani tubene marungu tuingie ikulu
 
Wakati unawasaidia wale wenye mawazo ya utumbo mpana kama mtoa mada wataanza unafiki na hakifanikiwa hao wa utumbo mpana mtoa mada wataanza kusema mpigania nchi.
Wewe mtoa mada hata ungekuwa kipindi Cha yesu na mtume muhamed ungeshiriki kumuua japo umezaliwa ujawakuta
 
Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali.

View attachment 2766355

================== ==================
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”, amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kibali.

Akizungumza na JamiForums, Wakili Boniphace Mwabukusi amesema “Kweli amehukumiwa lakini Mchungaji alifuata machakato wa kuomba vibali japo Serikali ndio ilikuwa ikichelewesha ukamilishwaji, pia Sheria inasema mtu ambaye yupo katika mchakato wa maombi hawezi kushtakiwa."

Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."

=================​
Pia s 'Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi' Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Taharifa ina ukakasi,baba mzazi miaka 39 mtoto miaka 25???
 
Taharifa ina ukakasi,baba mzazi miaka 39 mtoto miaka 25???
Spiritual father!!

Kuna watumishi vijana wenye 30 yrs lakini Wana watoto waliowazaa kiroho wenye 90 yrs,

So usishangae.
 
Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali.

View attachment 2766355

================== ==================
Mchungaji Mbarikiwa Mwakipesile (39), baba mzazi wa Sifa Bujune, Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kusambaza uongo kutokana na Wimbo wake wa “Mnatuona Nyani tu”, amehukumiwa kifungo hicho na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya kwa kosa la kuendesha huduma ya kiroho bila kibali.

Akizungumza na JamiForums, Wakili Boniphace Mwabukusi amesema “Kweli amehukumiwa lakini Mchungaji alifuata machakato wa kuomba vibali japo Serikali ndio ilikuwa ikichelewesha ukamilishwaji, pia Sheria inasema mtu ambaye yupo katika mchakato wa maombi hawezi kushtakiwa."

Ameongeza "Adhabu aliyofungwa nayo ina faini na kifungo, Hakimu ametoa adhabu ya kifungo bila faini, tunatarajia kukata rufaa Jumatatu (Oktoba 2, 2023)."

=================​
Pia soma: 'Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi' Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi
Duh 🙄 🙄😱
 
Mchungaji Mwakipesile ambaye mtoto wake Sifa Bujune alikamatwa kwa kosa la kusambaza uongo kwa kuimba wimbo wa "Mnatuona Nyani tu" amehukumiwa miaka mitatu jela kwa kosa la kuendesha kanisa bila ya kuwa na kibali...
Tuwe wa kweli, Kibali ni muhimu sana ili yakitokea kama ya Kibwetere au Mackenzie serikali ijue pa kuanzia na wa kumuwajibisha!
 
Back
Top Bottom