TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

Tuishie hapo ,ngoja nisikilize wimbo wa Milima ya Kwetu By Eddy Sheggy(Shakaza).
Ila tendwe taratibu hatua kwa hatua hapa inaonyesha wanaume wote tumejua na tunafahamu tofauti kati ya young killer na young D ambapo hata nyimbo zao nyingi zinasikilizwa na sisi wanaume kwa hiyo kwa logic hii huyo manzi alikosea kwakua sio rahisi kuwa tofautisha haraka hawa marapa wa kizazi kipya.

Cc. cocastic njoo utupe mrejesho hapa tafadhali kuna utata juu ya gender yako tupe mwongozo tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…