TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

Ila tendwe taratibu hatua kwa hatua hapa inaonyesha wanaume wote tumejua na tunafahamu tofauti kati ya young killer na young D ambapo hata nyimbo zao nyingi zinasikilizwa na sisi wanaume kwa hiyo kwa logic hii huyo manzi alikosea kwakua sio rahisi kuwa tofautisha haraka hawa marapa wa kizazi kipya.

Cc. cocastic njoo utupe mrejesho hapa tafadhali kuna utata juu ya gender yako tupe mwongozo tafadhali.
Kinacho ongelewa sio hicho,umeulizwa ,una huakika Ni manzi
 
Ila tendwe taratibu hatua kwa hatua hapa inaonyesha wanaume wote tumejua na tunafahamu tofauti kati ya young killer na young D ambapo hata nyimbo zao nyingi zinasikilizwa na sisi wanaume kwa hiyo kwa logic hii huyo manzi alikosea kwakua sio rahisi kuwa tofautisha haraka hawa marapa wa kizazi kipya.

Cc. cocastic njoo utupe mrejesho hapa tafadhali kuna utata juu ya gender yako tupe mwongozo tafadhali.
Nafikiri wao ndo wanaopaswaa kukupa uthibitishoo wee uutakao, kwann uje kwangu?? Ili hali utata wamekupa wao? Dai uthibitisho kutoka kwao. Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri wao ndo wanaopaswaa kukupa uthibitishoo wee uutakao, kwann uje kwangu?? Ili hali utata wamekupa wao? Dai uthibitisho kutoka kwao. Lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi hapa nimeshapata jibu kwa comment ☝️ Na msistizo wa Lol naijua hiyo wakati najifunza kutongoza nilijibiwa sana 🤣🤣🤣 King Kong III vipi hapa unakingine jibu hili pigia mstari

NB: ROUND HII MTAKANYAGANA 🤣🤣🤣
 
Hadi hapa nimeshapata jibu kwa comment [emoji3516] Na msistizo wa Lol naijua hiyo wakati najifunza kutongoza nilijibiwa sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787] King Kong III vipi hapa unakingine jibu hili pigia mstari

NB: ROUND HII MTAKANYAGANA [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumekuchaaaah, mnashindwa kutoa polee za msiba, mnawaza gender za watu kweli?
Khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2461001

Brigedia Jenerali + Dokta, Robinson Mboli Mwanjela aliwahi kuhudumu kama mkuu wa Chuo cha Kijeshi cha Tiba - Lugalo.

Taarifa za kufariki kwake zimethibitishwa na mtoto wake David almaaruufu Young Dee aliepost msiba huo kwenye status yake instagram.
Brig General Robinson Mboli Mwanjela ameagwa leo, asubuhi saa tatu pale Lugalo, na saa saba baada ya misa katika kanisa la Wazo Hill KKKT.

Pale Lugalo zilitolewa heshima zote za kuaga kijeshi, na procession ya kuutoa mwili mortuary ilikuwa very touching.
Kule Wazo Hill Majenerali Mboma na Mwamunyange wamemwagia sifa za kazi yake kwa Ofisa huyu wa ngazi za juu aliyekuwa a very humble doctor.
 
Jina la Mwa--- sio kwa wanyakyusa pekee, limesambaa kwa makabila ya kanda za juu kusini.

Mike tee jina lake ni Mwakatundu lakini ni mhehe,

Nilikuwa na rafiki baba yake yupo jeshini anaitwa Mwamanga lakini alikuwa mbena,

Wapo kina Mwakipande ni wakinga,

Wapo wanaitwa kina mwashinga ni wasafwa, n.k

hata chifu mkwawa alikuwa na jina la Mwamuyinga.

Point yangu kuu ni kwamba tusiwe na haraka kufanya hitimisho
Mike Tee ni mnyakyusa, mama yake ndo muhehe wa Tanangozi
 
Brig General Robinson Mboli Mwanjela ameagwa leo, asubuhi saa tatu pale Lugalo, na saa saba baada ya misa katika kanisa la Wazo Hill KKKT.

Pale Lugalo zilitolewa heshima zote za kuaga kijeshi, na procession ya kuutoa mwili mortuary ilikuwa very touching.
Kule Wazo Hill Majenerali Mboma na Mwamunyange wamemwagia sifa za kazi yake kwa Ofisa huyu wa ngazi za juu aliyekuwa a very humble doctor.
True saying it was a very touching moment kwa kweli..

REST IN POWER BRIG GENERAL
 
Back
Top Bottom