Kuna wasanii wengi tu wamekulia familia mambo safii na baba zao watu smart kiakili .
Wema sepetu. Baba yake kashika vyeo kibao vikubwa mpaka ubalozi.
Irene uwoya baba yake rubani
Cyril kamikaze mama yake alikuwa mkurugenzi.
Young D baba yake generali wa jwtz
TUNDA wa whozu baba yake sabasita ni askari sniper mwenye heshima kubwa ndani ya jeshi la polisi. Na hata majambazi wanamuogopa.
Shaaa wa master jay. Baba yake professa udsm
Master jay producer baba yake alikuwa mkurugenz Tanesco.
Na wengine kibao sijawataja.
Wazazi mambo safi ni open minded wana tabia ya kuwaacha watoto wao wafanye wanachotaka..