Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Huyu Brig General hakuwa amestaafu? Duh wanasafirisha au? MzeeBrig General Robinson Mboli Mwanjela ameagwa leo, asubuhi saa tatu pale Lugalo, na saa saba baada ya misa katika kanisa la Wazo Hill KKKT.
Pale Lugalo zilitolewa heshima zote za kuaga kijeshi, na procession ya kuutoa mwili mortuary ilikuwa very touching.
Kule Wazo Hill Majenerali Mboma na Mwamunyange wamemwagia sifa za kazi yake kwa Ofisa huyu wa ngazi za juu aliyekuwa a very humble doctor.