TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

TANZIA Baba yake Young Dee, Brigedia Jenerali Dr. Robinson Mboli Mwanjela, afariki Dunia

Kwa hiyo dogo akashindwa kufuata nyayo za mdingi akaamua kuwa mfokafoka!😥
Hufati ndoto za baba unafata zako kitendo cha mzee kuchomoka halafu mtoto pekee unaemjua ni young d .na young d ni maarufu kuliko baba yake inatosha kusema young d ni kijana wa mfano na mtoto bora.pole zake super sta young d
 
Kuna wasanii wengi tu wamekulia familia mambo safii na baba zao watu smart kiakili .

Wema sepetu. Baba yake kashika vyeo kibao vikubwa mpaka ubalozi.

Irene uwoya baba yake rubani

Cyril kamikaze mama yake alikuwa mkurugenzi.

Young D baba yake generali wa jwtz

TUNDA wa whozu baba yake sabasita ni askari sniper mwenye heshima kubwa ndani ya jeshi la polisi. Na hata majambazi wanamuogopa.

Shaaa wa master jay. Baba yake professa udsm

Master jay producer baba yake alikuwa mkurugenz Tanesco.

Na wengine kibao sijawataja.

Wazazi mambo safi ni open minded wana tabia ya kuwaacha watoto wao wafanye wanachotaka..
Ukweli ni kuwa mtoto kutoka familia bora anaweza kuafford kufuata passion yake.
 
Itakua mie Robboti km sio alien. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aah! Wapi..!!! Nimegundua we sio robort wala sio dume kama sie na hauna namna gani inayoning’inia chini ya miguu yako wala nini 🤣🤣🤣 Although let me take this chance to congratulate you for what you’ve been carried dah! Ila jamaa amekuweza hapo ndipo ujanja wenu unapoishia kitumbo ndwii 🤣🤣🤣 Sema endelea hivohivo mtu wangu usije ukaanza kunchukia ukan’tema mate bure na ikifika August mwezi uliosema utakua ndio sahihi kushusha usisahu kumpa jina kama langu 🤣🤣🤣 am kidding cocastic binti mwenye madaha yake na mlibwende kwelikweli...!!
 
Aah! Wapi..!!! Nimegundua we sio robort wala sio dume kama sie na hauna namna gani inayoning’inia chini ya miguu yako wala nini [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Although let me take this chance to congratulate you for what you’ve been carried dah! Ila jamaa amekuweza hapo ndipo ujanja wenu unapoishia kitumbo ndwii [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sema endelea hivohivo mtu wangu usije ukaanza kunchukia ukan’tema mate bure na ikifika August mwezi uliosema utakua ndio sahihi kushusha usisahu kumpa jina kama langu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] am kidding cocastic binti mwenye madaha yake na mlibwende kwelikweli...!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar ankoli, hebu nichagulie jina zuri la kumpa 1st born wanguuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usijar ankoli, hebu nichagulie jina zuri la kumpa 1st born wanguuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah! Nimejishauri sana na kuhofia hawa walimwengu wa sasa wanaweza anza kuwa na maoni na hisia tofauti juu ya hili kwakua najua kamwe mswahili haachi asili...

Lkn kwa sababu ni hiari yako basi sawa yapo mengi ila hapa nimeweka Top10 ya majina ya kiume na ya kike, Wewe angalia utakalo pendezwa nalo na pia mshirikishe baba mtoto kwa suggestions nyingine huenda anayotofauti na yenye kuvutia zaidi.
944D8B60-7F9D-4FB3-A58E-D419E975BAD8.jpeg
 
Dah! Nimejishauri sana na kuhofia hawa walimwengu wa sasa wanaweza anza kuwa na maoni na hisia tofauti juu ya hili kwakua najua kamwe mswahili haachi asili...

Lkn kwa sababu ni hiari yako basi sawa yapo mengi ila hapa nimeweka Top10 ya majina ya kiume na ya kike, Wewe angalia utakalo pendezwa nalo na pia mshirikishe baba mtoto kwa suggestions nyingine huenda anayotofauti na yenye kuvutia zaidi.
View attachment 2463419
Atticus
Gianna

Seriously?
 
Back
Top Bottom