Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
20260521_185735.jpg
 
Waafrika tumepandikizwa element za ubinafsi, chuki na majivuno yasiyo na maana. We treat our own fresh and blood kama nyoka. Alafu baadae maini yameshachoka unaskia mwanangu hanisaidii... Wazee Huwa nawashangaa sana, ndo maana warabu wametuzidi na generational wealth zao, wanajua kumfunza mtoto pesa ni Nini from fundamental years, sisi na ujinga wetu unakuta Mzee anawaza tu namna ya kuficha mali as if anao ishi nao ni wezi. Tumelaaniwa sie
 
Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
Wote tulipewa hela za kuanzia maisha na wazazi?Ulelewe,usomeshwe na bado unataka hela za kuanzia maisha upewe?Kama haitoshi unataka na mali zake urithi tena kwa kugombania?Miafrika bwana!
 
Waafrika tumepandikizwa element za ubinafsi, chuki na majivuno yasiyo na maana. We treat our own fresh and blood kama nyoka. Alafu baadae maini yameshachoka unaskia mwanangu hanisaidii... Wazee Huwa nawashangaa sana, ndo maana warabu wametuzidi na generational wealth zao, wanajua kumfunza mtoto pesa ni Nini from fundamental years, sisi na ujinga wetu unakuta Mzee anawaza tu namna ya kuficha mali as if anao ishi nao ni wezi. Tumelaaniwa sie

Safi sana mkuu.

Alafu unakuta mtu anasema hivi anaonekana mzembe au tegemezi.
 
Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
Itategemea na akili za baba yako, kashauriwa vyema, sawa imeshatokea baba yake ana hizo akili za kiafrica, ana mamilioni benki lakini hawezi kumpa mwanae akafanye biashara, unataka ashauriwe nini?, aendelee kukaa nyumbani tu!?,. Na huyo mtoto naye anaweza kuwa tatizo,yawezekana baba yake kashaona hilo anaona bora akachangie ujenzi wa kanisa kuliko kumpa k.enge mmoja asiyethamini pesa. Mifano ipo mingi, nenda Sinza, Mwenge, Kinondoni, Msasani etc, watoto wa kiume umri zaidi ya miaka 35 wanaishi kwao wanavizia wazee wafe wauze nyumba. Bahati mbaya wazee nao hawafi😂😂
 
Ww jamaa unaoneka ni mkoloni sana
Huyo sio mkoloni.

Ni mpumbavu, hawa ndio wale wanaowalamba waarabu miguu kisa tu waliwaletea dini huku wakisahau waliwachapa babu zao viboko na kuwaua.

Atafanha yote mwarabu atamuagiza ila kumsaidia mwanae anaona kama anajidharalisha

min -me wewe ni mpumbavu sana, aya andika upumbavu mwingine
 
Ulitaka niandike kitu gani ? Baba yako kagoma kukupa pesa unataka nikushauri ukamnyonge ?

Au unataka nimlaumu ? Itasaidia kitu gani , nimekupa mbinu toka kapambane kivyako,.
 
Nyie ndo aina ya vijana mnaotamani dingi afe au kumuua kabisa ili mrithi mali mapema.
Dingi kakusomesha mpaka hapo ulipofikia, tayari huo ni urithi tosha. Changa karata zako, hustle kugenerate mtaji ama connections ili mwisho wa siku nawe umiri vyako na kujenga family yako ili uone uchungu wa kulea toto tangu likiwa tumboni mwa mama yake, kuzaliwa, kuuguza na kusomesha.

Muache mzee ailizishe nafsi yake vile atakavyo. Ana uwezo hata wa kuoa kibinti kidogo kuliko umri wako na akalipa mahari mamilioni coz pesa ni yakwake.
 
Back
Top Bottom