Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Umemzawadia glove akabebee zege?
Umemzawadia glove akabebee zege?
Haipo hiyo!Akaze mwanzo mwenga!Ana taka tumshauri kwa kumlaumu baba yake
Mkuu habari za asubuhiToka hapo nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Samaleko bwashee 😅Mkuu habari za asubuhi
Waalekyum MuslimSamaleko bwashee 😅
Umeenda mbali mada yenyewe nyepesi tu, hatujui mahusiano ya huyo baba na mtoto yapoje, hatujui mtoto ana tabia gani, hatujui mchango uliotolewa ni ahadi au ni wa ghafla, hatujui mengi.Waafrika tumepandikizwa element za ubinafsi, chuki na majivuno yasiyo na maana. We treat our own fresh and blood kama nyoka. Alafu baadae maini yameshachoka unaskia mwanangu hanisaidii... Wazee Huwa nawashangaa sana, ndo maana warabu wametuzidi na generational wealth zao, wanajua kumfunza mtoto pesa ni Nini from fundamental years, sisi na ujinga wetu unakuta Mzee anawaza tu namna ya kuficha mali as if anao ishi nao ni wezi. Tumelaaniwa sie
Tumlaumu baba wa kijana aliye nyimwa pesa bwasheeWaalekyum Muslim
Mkuu jaribu kuwa rational, mbona ummenda kwenye negative aspect Moja Kwa Moja? Mbona unafikiria hivyo... That's trauma mkuu, umefungwa kifikraHaya akamnyonge baba yake , akachukue pesa , ili nisionekane mkoloni
Nimempa mbinuya kutemana na baba aliye amua kumnyima pesa , ukoloni upo wapi hapo bwashee?Mkuu jaribu kuwa rational, mbona ummenda kwenye negative aspect Moja Kwa Moja? Mbona unafikiria hivyo... That's trauma mkuu, umefungwa kifikra
Mliojipata mnatu harass sana.Toka hapo nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Bora alipochangia musikitiTumlaumu baba wa kijana aliye nyimwa pesa bwashee
Wala sio hivyo mkuu, sasa mzee kamnyima noti , na noti ni zake , hapo wewe ungemshauri vipi?Mliojipata mnatu harass sana.
Mkuu naongea nacho kimaanisha, we're poor because we're conditioned to be so.Umeenda mbali mada yenyewe nyepesi tu, hatujui mahusiano ya huyo baba na mtoto yapoje, hatujui mtoto ana tabia gani, hatujui mchango uliotolewa ni ahadi au ni wa ghafla, hatujui mengi.
Ila ninachoamini ukiwa mtu mzima unapaswa ubebe lawama kamili kwa matatizo yako yote, visingizio vinalemaza.
Mzee wake ni tatizo.Wala sio hivyo mkuu, sasa mzee kamnyima noti , na noti ni zake , hapo wewe ungemshauri vipi?
That's BS mkuu, hatuwezi kutoa maamuzi namna hiyo, you want the cycle to continue na yeye aje afanyie watoto wake hivyoNimempa mbinuya kutemana na baba aliye amua kumnyima pesa , ukoloni upo wapi hapo bwashee?
Ndio ni tatizo kama vipi amnyongee usingizini sasa, akachukue manoti.Mzee wake ni tatizo.
Mm naona kaamka na vyombo LeoHuyo sio mkoloni.
Ni mpumbavu, hawa ndio wale wanaowalamba waarabu miguu kisa tu waliwaletea dini huku wakisahau waliwachapa babu zao viboko na kuwaua.
Atafanha yote mwarabu atamuagiza ila kumsaidia mwanae anaona kama anajidharalisha
min -me wewe ni mpumbavu sana, aya andika upumbavu mwingine
Dah nimecheka sana mkuu au ushapiga maji ya mende.Toka hapo nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Kwa hiyo afanye nini ajinasue hapo ?That's BS mkuu, hatuwezi kutoa maamuzi namna hiyo, you want the cycle to continue na yeye aje afanyie watoto wake hivyo