kwani hela ya baba yako ni yako?Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, cha kushangaza unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti
UMASIKINI NI MENTALITY NA SIO POSESSION

Ndio maana kwenye comment yangu nyingine niliacha hiyo room pia. Kama mzazi ana uwezo na kaacha kufanya, lazma kuna story katikatiUko sahihi kabisa. Ila kumbuka pia hata hao matajiri hawakutoa kwa mtoto ni mtoto tu, ni lazima waliangalia uwezo na tabia ya mtoto.
Ukiangalia historia ya mleta mada, amekaa nyumbani kwa miaka 5 bila lolote wala chochote hiyo ni ishara mbaya.
Huenda baba anajua vizuri tabia za mwanae akaona kuliko kumpa mwanae ni bora apeleke kwenye imani ambayo itaipa faraja nafsi yake.