Itategemea na akili za baba yako, kashauriwa vyema, sawa imeshatokea baba yake ana hizo akili za kiafrica, ana mamilioni benki lakini hawezi kumpa mwanae akafanye biashara, unataka ashauriwe nini?, aendelee kukaa nyumbani tu!?,. Na huyo mtoto naye anaweza kuwa tatizo,yawezekana baba yake kashaona hilo anaona bora akachangie ujenzi wa kanisa kuliko kumpa k.enge mmoja asiyethamini pesa. Mifano ipo mingi, nenda Sinza, Mwenge, Kinondoni, Msasani etc, watoto wa kiume umri zaidi ya miaka 35 wanaishi kwao wanavizia wazee wafe wauze nyumba. Bahati mbaya wazee nao hawafi😂😂