Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 7,107
- 10,609
hatari sana
Aelimishwe kuhusu chanzo Cha hayo yote, aone ya kuwa maumivu aliyo nayo Mzee juu yake, au mali zake yanaenda mbali mno. Kingine hata kama Mzee hatabadilika inabidi awe na sympathy badala ya kutunza vitu moyoniKwa hiyo afanye nini ajinasue hapo ?
Baada ya hapo, afanye nini apate hela?Aelimishwe kuhusu chanzo Cha hayo yote, aone ya kuwa maumivu aliyo nayo Mzee juu yake, au mali zake yanaenda mbali mno. Kingine hata kama Mzee hatabadilika inabidi awe na sympathy badala ya kutunza vitu moyoni
😁😁😁Mtoa mada anachekesha kama sio kaka yako..umewazanali mkuu😂🙌🏾
Maelezo ya mada hayatoshi kuonesha uhalisia kama nilivyosema.Mkuu naongea nacho kimaanisha, we're poor because we're conditioned to be so.
Na ni kweli hatujui background wote, so why tuanze kujudge? Kwanini tusiangalie mada Kwa jicho la uhalisia.
Hivi unajua kuwa colonization ili tu affect sana, for generations? Unajua ya kuwa tumeshazoea kujifunza kupitia maumivu? Hatuna social clarity, hatujui impacts za malezi, in short tunaishi kama wanyama
Tujiunge wote humu kumlaumu mzeeMaelezo ya mada hayatoshi kuonesha uhalisia kama nilivyosema.
Licha ya hayo, mtu mzima hapaswi kuegemea sana visingizio, ni kujilemaza. Sasa mzazi akikunyima mali utafanyaje?
Halafu hii haipo kwa waafrika tu, mbona wazungu kama kina Jeff Goldblum na Gordon Ramsey wameweka wazi kabisa mitandaoni kwamba watoto hawapati hata mia...
Na pia mbona kuna watoto hawataki urithi?
Kulia lia hakusaidii kitu.
Najua unatry kutafta validation ya mawazo yako, ila sie tunaangalia mpasukoBaada ya hapo, afanye nini apate hela?
Ni kweli pesa za baba yake sio zake, lakini mzazi anaejitambua lazima awe concerned na future ya mtoto wake.Toka hapo nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Bwashee mawazo yangu yapo kama yalivyo , siku akinyimwa pa kulala chakula , atayafanyia kazi bila hata kupendaNajua unatry kutafta validation ya mawazo yako, ila sie tunaangalia mpasuko
Ukweli mchungu ni kwamba kama upo nyumbani huna ajira miaka 5 hata ukipewa milioni 10 kuna 99% utaifilisi hio hela.UMASIKINI NI MENTALITY NA SIO POSESSION
Ni kweli kabisa, sasa mzee kagoma , dogo afanye nini?Ni kweli pesa za baba yake sio zake, lakini mzazi anaejitambua lazima awesome concerned na future ya mtoto wake.
Maana mtoto hakukuomba umzae ila nyege zake ndio zilisababisha. Kama huwezi huwezi kumsaidia mwanao ungepiga punyeto au kutumia condom!
Nyie ndo aina ya vijana mnaotamani dingi afe au kumuua kabisa ili mrithi mali mapema.
Dingi kakusomesha mpaka hapo ulipofikia, tayari huo ni urithi tosha. Changa karata zako, hustle kugenerate mtaji ama connections ili mwisho wa siku nawe umiri vyako na kujenga family yako ili uone uchungu wa kulea toto tangu likiwa tumboni mwa mama yake, kuzaliwa, kuuguza na kusomesha.
Muache mzee ailizishe nafsi yake vile atakavyo. Ana uwezo hata wa kuoa kibinti kidogo kuliko umri wako na akalipa mahari mamilioni coz pesa ni yakwake.
Ushauri mzuri sanaMleta mada nadhani lengo lako kuu la huu uzi ni kutafuta Public sympathy,huruma ya umma au uungwaji mkono wa wananchi,
Ni kweli maisha ni magumu kwa vijana,kuajiriwa au kupata mtaji,je uliwahi kumuomba Baba yako mtaji akakukatalia? Baada ya kuona hapo home umesha poteza miaka 5 for nothing,umechukua maamuzi gani so far?
Kumtupia mtu mwingine lawama hakuwezi kubadili chochote,chukua maamuzi ya nini ufanye kuliko kuendelea kupoteza muda,
All the Best.
I hardly disagree with this, kati ya watu wanaojua kumwinua mtoto ni hao, wanayosema nje ni mbwembwe tu, christiano Ronaldo aliwahi kusema eti yule Jr hapati Iphone, au maisha ya kifahari. Nenda kaangalie lavish lifestyle wanayoishi.Maelezo ya mada hayatoshi kuonesha uhalisia kama nilivyosema.
Licha ya hayo, mtu mzima hapaswi kuegemea sana visingizio, ni kujilemaza. Sasa mzazi akikunyima mali utafanyaje?
Halafu hii haipo kwa waafrika tu, mbona wazungu kama kina Jeff Goldblum na Gordon Ramsey wameweka wazi kabisa mitandaoni kwamba watoto hawapati hata mia...
Na pia mbona kuna watoto hawataki urithi?
Kulia lia hakusaidii kitu.
Simple as that mkuu, lakini waafrika Wana ego, wanavizambina ndani ya nafsi zao. Wanakaa na chukiG
Okay tuseme kijana ni mdhembe lakini kuna umuhimu gani wa kuwa na pesa ama connection ikiwa kama mwanao unamsomesha ili aje kuanzia zero.
Tunawasifia kina Mo Dewji na Manji ila ukifikiria walipofika ni kwa sababu hawakuanzia Zero.