hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Dahh !! 😁😁😁Una uhakika gani kama ni Baba yako! Amka, shtuka kutoka usingizini uingie mtaani kutafuta pesa zako.
Dahh !! 😁😁😁Una uhakika gani kama ni Baba yako! Amka, shtuka kutoka usingizini uingie mtaani kutafuta pesa zako.
Haya akamnyonge baba yake , akachukue pesa , ili nisionekane mkoloni
I second you 📌Ni kweli pesa za baba yake sio zake, lakini mzazi anaejitambua lazima awe concerned na future ya mtoto wake.
Maana mtoto hakukuomba umzae ila nyege zake ndio zilisababisha. Kama huwezi huwezi kumsaidia mwanao ungepiga punyeto au kutumia condom!
Asingeweza , ila kashamnyima hiyo hela , cha kufanya ajiongeze tuMkuu, Je Baba yake Mo Dewj angemwambia "Mo" atoke nyumbani kwake, Mo angeweza kuwa tajiri kweli kwa hustles zake mwenyewe bila pesa za baba yake?
😁😁😁Mliojipata mnatu harass sana.
😀Ha ha mambo yasiwe mengi!
Mzazi ambaye hatoi hata mia kwa watoto, Ameshaona kwamba hao wanae ni hamnazo.Maelezo ya mada hayatoshi kuonesha uhalisia kama nilivyosema.
Licha ya hayo, mtu mzima hapaswi kuegemea sana visingizio, ni kujilemaza. Sasa mzazi akikunyima mali utafanyaje?
Halafu hii haipo kwa waafrika tu, mbona wazungu kama kina Jeff Goldblum na Gordon Ramsey wameweka wazi kabisa mitandaoni kwamba watoto hawapati hata mia...
Na pia mbona kuna watoto hawataki urithi?
Kulia lia hakusaidii kitu.
Wala sio hivyo bwashee, ni kaushauri tu kuwa ajikatae akapambane kivyake na hiyo ikawe chachu kwae aogope kupoteza hata mia mbovu , tukianza mlaumu mzee wake humu usishangae akamkata hata shingo.🤔
Pengine huyo mzazi kaona mwanae ni kichwa mbovu. Ndio maana kamnyima.Asingeweza , ila kashamnyima hiyo hela , cha kufanya ajiongeze tu
Mzee ameshazingua hivyo dogo ajiongeze kuliko kupoteza mda kutupa lawamaHapo dingi yupo kwenye hatari mzee na hela ni zake. 😊
Mzee ameshazingua hivyo dogo ajiongeze kuliko kupoteza mda kutupa lawama
Kabisa nimejaribu kutafuta jibu lingine sioni kabisaKweli mkuu. Hapo hamna jawabu zaidi ya hilo.
Kabisa nimejaribu kutafuta jibu lingine sioni kabisa
Trust me hakuna mzazi katili kwa mwanae hasa yule hustler.G
Okay tuseme kijana ni mdhembe lakini kuna umuhimu gani wa kuwa na pesa ama connection ikiwa mwanao unamsomesha ili aje kuanzia zero.
Tunawasifia kina Mo Dewji na Manji ila ukifikiria walipofika ni kwa sababu hawakuanzia Zero.