Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Mzee kashaambiwa mbinguni kuna makao mazuri sana, kuna mabikra n.k
Akitoa sadaka nyingi ndio anajiandalia makazi yake huko mbinguni.

Kuna mshua mmoja, aliandika wosia kwamba akifa nyumba zake ni za kanisa! 😊
 
Simple as that mkuu, lakini waafrika Wana ego, wanavizambina ndani ya nafsi zao. Wanakaa na chuki
Sometimes watu wanalaumu tu lakini ni mara chache mzazi aepuke lawama.

Mfano kama kijana mkubwa anaona anaonewa kuwekwa tu home bila mishe yoyote kwa miaka 5. Ni wazi alilelewa kuwa dependent ndio maana yupo entitled kwa sababu hataki kuanzia zero

Na mzee anaeweza toa 10m kanisani, hakosi connection au hata pesa za kufanya kitu. The fact hafanyi, kuna story imezikwa hapo

Japo kwa kijana. Lazma aangalie maisha ni yake si ya baba yake lakini concerns zake zisipuuzwe
 
Itategemea na akili za baba yako, kashauriwa vyema, sawa imeshatokea baba yake ana hizo akili za kiafrica, ana mamilioni benki lakini hawezi kumpa mwanae akafanye biashara, unataka ashauriwe nini?, aendelee kukaa nyumbani tu!?,. Na huyo mtoto naye anaweza kuwa tatizo,yawezekana baba yake kashaona hilo anaona bora akachangie ujenzi wa kanisa kuliko kumpa k.enge mmoja asiyethamini pesa. Mifano ipo mingi, nenda Sinza, Mwenge, Kinondoni, Msasani etc, watoto wa kiume umri zaidi ya miaka 35 wanaishi kwao wanavizia wazee wafe wauze nyumba. Bahati mbaya wazee nao hawafišŸ˜‚šŸ˜‚
Baba ndiye tatizo. Hakujenga misingi imara ya kumtengeneza mtoto kuja kuendeleza alivyovianzisha yeye. Unazaa mtoto unalelewa na wengine alafu unategemea matokeo chanya?

Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Tuache akili za kufikiria kusomesha watoto eti waje waajiliwe na wengine
 
I hardly disagree with this, kati ya watu wanaojua kumwinua mtoto ni hao, wanayosema nje ni mbwembwe tu, christiano Ronaldo aliwahi kusema eti yule Jr hapati Iphone, au maisha ya kifahari. Nenda kaangalie lavish lifestyle wanayoishi.

Kati ya watu ambao wanafanya Kila wawezalo kujua na ku awaken talanta za watoto wao ni hao, and they're willing to financially support Kwa namna yoyote ile.

Waafrika Sasa, hawajui chochote kuja mtoto, hawajui mtoto anapendelea Nini, yaani wamekaa kikoloni koloni tu.
.mkuu tuache kuongea out of emotion
Umekuwa mbishi tu, ila ni kitu kirahisi kuelewa.

Hii ni falsafa mkuu, mzazi anaamini akimuachia mtoto mali anamdekeza.

Connection anamtengenezea kupitia elimu na kumfundisha kadri anavyoweza.

Inawezekana nisikubaliane na hilo, lakini tuheshimu mitazamo ya watu.

Na mtoto akibaki kulalama haitosaidia chochote.
 
Wala sio hivyo bwashee, ni kaushauri tu kuwa ajikatae akapambane kivyake na hiyo ikawe chachu kwae aogope kupoteza hata mia mbovu , tukianza mlaumu mzee wake humu usishangae akamkata hata shingo.šŸ¤”
Bwashee unajua kuna watu kwenye huu uzi badala wakijike kumshauri kijana aondokane na hali hiyo,wao wamejikita kumsema mshua wake au kuusema uafrika!

Hii haiwezi kumsaidia mleta mada,kwanza hatujui what's behind yeye na mshua wake,
Ushauri mzuri ni kumshauri kijana aondokane na hali hiyo,miaka 5 kupotea inatosha,ni lazima afanye jambo yeye kama yeye kuliko kuendelea kusubiri miujiza.
 
Tukiangalia post tu bila kutaka kujua hali yoyote inayowazunguka hiyo familia,huyo mzee ni mpuuzi kama walivyo wazee wengi walozaliwa kabla ya millennials!!!
 
Hawa wazee wametudanganya kwa muda mrefu sana elimu sii urithi bali ni hitaji la msingi kwa mtoto. Ila kwa sasa naona gen Z huu mtego wameanza kusanuka
 
If ur above 18 don't blame ur parents go and fight for urself

Sisi waafrica hatuna utamaduni wa kuwapa mali watoto wetu so don't blame ur dady or mom
True,

Adulthood demands accountability,
Blaming your parents only hold you back,
taking ownership of your choices and actively shaping your own future are the most critical steps toward personal growth and true independence,

Typically 18 your path is entirely in your own hands.
 
Mtu anaekaa kwa shemeji au ugali wa bure unamfahamu tu kwa instict.

Hata utumie english ya celtics hauwezi uvika ukweli kuwa mpumbavu ni mpumbavu tu na katika upumbavu kuna a ya afrika na u ya uislam.
 
Bwashee unajua kuna watu kwenye huu uzi badala wakijike kumshauri kijana aondokane na hali hiyo,wao wamejikita kumsema mshua wake au kuusema uafrika!

Hii haiwezi kumsaidia mleta mada,kwanza hatujui what's behind yeye na mshua wake,
Ushauri mzuri ni kumshauri kijana aondokane na hali hiyo,miaka 5 kupotea inatosha,ni lazima afanye jambo yeye kama yeye kuliko kuendelea kusubiri miujiza.
Kabisa , kulaumu sio solution kabisa.
 
Umekuwa mbishi tu, ila ni kitu kirahisi kuelewa.

Hii ni falsafa mkuu, mzazi anaamini akimuachia mtoto mali anamdekeza.

Connection anamtengenezea kupitia elimu na kumfundisha kadri anavyoweza.

Inawezekana nisikubaliane na hilo, lakini tuheshimu mitazamo ya watu.

Na mtoto akibaki kulalama haitosaidia chochote.
Hivi unajua kiini Cha hayo yote?

Mzazi hamjui mtoto vizuri. That's the issue. Hata hiyo elimu aliyompa hajui hata ndo mtoto anataka. It's Soo deep Mzee, na hiyo ni trauma response ya wazazi Kwa watoto wao.

So next time think a little bit deeper
 
Back
Top Bottom