FORBIDDEN HISTORY
JF-Expert Member
- Jul 28, 2024
- 202
- 521
Nakuja tuishi wote ila uwe bottom.Toka nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undeziToka nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
Natumia wanamke tuNakuja tuishi wote ila uwe bottom.
Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
Waafrika akili hawana mkuu, hawana intelligence ya kusolve tatizo kwa ungwanaAkili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
Wote tulipewa hela za kuanzia maisha na wazazi?Ulelewe,usomeshwe na bado unataka hela za kuanzia maisha upewe?Kama haitoshi unataka na mali zake urithi tena kwa kugombania?Miafrika bwana!Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
Waafrika tumepandikizwa element za ubinafsi, chuki na majivuno yasiyo na maana. We treat our own fresh and blood kama nyoka. Alafu baadae maini yameshachoka unaskia mwanangu hanisaidii... Wazee Huwa nawashangaa sana, ndo maana warabu wametuzidi na generational wealth zao, wanajua kumfunza mtoto pesa ni Nini from fundamental years, sisi na ujinga wetu unakuta Mzee anawaza tu namna ya kuficha mali as if anao ishi nao ni wezi. Tumelaaniwa sie
Itategemea na akili za baba yako, kashauriwa vyema, sawa imeshatokea baba yake ana hizo akili za kiafrica, ana mamilioni benki lakini hawezi kumpa mwanae akafanye biashara, unataka ashauriwe nini?, aendelee kukaa nyumbani tu!?,. Na huyo mtoto naye anaweza kuwa tatizo,yawezekana baba yake kashaona hilo anaona bora akachangie ujenzi wa kanisa kuliko kumpa k.enge mmoja asiyethamini pesa. Mifano ipo mingi, nenda Sinza, Mwenge, Kinondoni, Msasani etc, watoto wa kiume umri zaidi ya miaka 35 wanaishi kwao wanavizia wazee wafe wauze nyumba. Bahati mbaya wazee nao hawafi😂😂Akili za kiafrika hizi. Ndio maaana mnawaabudu wazungu kwa akili kama hizi. Unataka mwanao nani ampatie hela za kufanya maisha? Acha undezi
Ww jamaa unaoneka ni mkoloni sanaToka hapo nyumban pesa za baba yako sio zako , kwa hiyo bi mkubwa akifua chupi zake aogope kuzianika kisa wewe kiazi mmoja🚮
✔Wote tulipewa hela za kuanzia maisha na wazazi?Ulelewe,usomeshwe na bado unataka hela za kuanzia maisha upewe?Kama haitoshi unataka na mali zake urithi tena kwa kugombania?Miafrika bwana!
Haya akamnyonge baba yake , akachukue pesa , ili nisionekane mkoloniWw jamaa unaoneka ni mkoloni sana
Huyo sio mkoloni.Ww jamaa unaoneka ni mkoloni sana
Au unasemaje maalim?Hawa vijana wetu kujidekeza tu.Mzazi amestaafu.Badala ale maisha(ajiinjoi mwishomwisho)na mchumba wake kikongwe mwenzie,wao wanataka wagawiwe kwa lazima.Kama haitoshi,wakitaga watoto wao(wajukuu)wanawarundikia wazazi wao wazee wawalelee.I wonder!
Ulitaka niandike kitu gani ? Baba yako kagoma kukupa pesa unataka nikushauri ukamnyonge ?Huyo sio mkoloni.
Ni mpumbavu, hawa ndio wale wanaowalamba waarabu miguu kisa tu waliwaletea dini huku wakisahau waliwachapa babu zao viboko na kuwaua.
Atafanha yote mwarabu atamuagiza ila kumsaidia mwanae anaona kama anajidharalisha
min -me wewe ni mpumbavu sana, aya andika upumbavu mwingine
Ana taka tumshauri kwa kumlaumu baba yakeAu unasemaje maalim?Hawa vijana wetu kujidekeza tu.Mzazi amestaafu.Badala ale maisha(ajiinjoi mwishomwisho)na mchumba wake kihongwe,wao wanataka wagawiwe kwa lazima.Kama haitoshi,wakitaga watoto wa(wajukuu)wanawarundukia wazazi wao wazee.I wonder!