Baba yako amestaafu upo home hauna ajira miaka 5, unasikia ametoa million 10 mchango wa ujenzi wa kanisa au msikiti

Ndio maana kwenye comment yangu nyingine niliacha hiyo room pia. Kama mzazi ana uwezo na kaacha kufanya, lazma kuna story katikati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…