Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

Fujo gani? Si mwanae na hapo si kwao kwani ni sheria gani kifungu kipi kinaeleza ukomo wa umri wa mtu kutoka kwao
Nyumbani ni nyumbani.
kwa hiyoo wew ukiondoka kwenu baba yako chumba chake ulichokwa unaishia kibaki wazi tu???
 
chumba chako ulijenga? icho ni chumba milk ya dingi, acha umama.
 
Fanya kitu kimoja,

Hebu mwambie dingi ako akupe hiyo kodi ya hicho chumba.
 
Safi sanaa mzee namuunga mkono kapambane Kwa hasira you will thank your father later 😊😊😊☺️☺️
 
Huyu msenge atamuua baba yake huyu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Baba yangu kanifukuza, Mara kapangisha chumba changu, Mara kauza nyumba kaninyima mgao, yote ilimradi kuanzisha Uzi, hivi mtu ujisikii vibaya kumuongelea mzazi wako ovyo kwa Visa vya kutunga, watu tupo tofauti kweli.
 
Uungwana unahitajika hizo kodi za mia tatu kwa siku si chochote bora kijana akae kwao
Alafu mwisho wa mwezi utamtumia hela za matumizi eti??? yani baba yako akulee toka upo tumboni mpaka ufike miaka 45 anafikiria kuhusu wew utakula nin na kulala wapi?? labda umkute mzee mpumbavuu miaka 45 inabdi uwe msaada kwa baba yako sio kuleta huo ujinga
 
Pumbavu zee la miaka 48 linajiita kijana linataka kulelewa na wazazi wakati na lenyewe lina mtoto.
Mtoto analelewa na nani?
Mzee fukuza hilo zee linalojiita kijana.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi comment za huu uzi [emoji119][emoji119].
Pole sana mleta uzi maana watu hawataki huruma wanakubonda na mawe tu.
 
Yapo sana haya mambo siunaona ukosefu wa ajira limekuwa Janga kubwa kwaiyo tuishi hivyo wao wapinge tu et chai
Acha kumtia ujinga..kwa umri wake na kama alivyosema ana degree alitakiwa aingie kwenye soko la ajira mapema 2000s...kipindi hicho hakukuwa na graduate wengi na ajira zilikuwa nyingi hata bila hiyo degree
 

Kilicho baki mkuu uza tu mtandao pendwa utaishi vizur mjini
 
Naam mkuu well said huko sahihi kabisa kumsaidia mzazi aijalishi kijana anaishi wapi anaweza akaishi nyumbani na akawa ndio msaada mkubwa mpaka mzazi ataki atoke[emoji16]

Kuna watu kibao wanaishi makwao lakini ndio the top sijui unaelewa mkuu

Kama utakuwa muelewa tutakubaliana nikisema kuishi nyumbani sio kwamba mtu kashindwa maisha bali ni maamuzi yake mwenyewe au ya wazazi wake.

Nyumbani ni nyumbani.
 
Acha kumtia ujinga..kwa umri wake na kama alivyosema ana degree alitakiwa aingie kwenye soko la ajira mapema 2000s...kipindi hicho hakukuwa na graduate wengi na ajira zilikuwa nyingi hata bila hiyo degree
Mpaji ni MUNGU wakati wake wa kupata aujafika.
 
Huyu baba yako ni mpuuzi,yaani chumba chako cha Mabibo relini kapangisha mtu mwingine?
Ningelikuwa ni mimi pange chimbika maana huo umri wako 48 bado ni mdogo sana hupaswi kujitegemea,inatakiwa uwe chini ya uangalizi wa wazazi tena ufuliwe nguo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…