Baba yangu mzazi amepangisha chumba changu

Mtu una miaka 48,umri wa Mwigulu kabisa,unasema kijana wakati haupo kwenye siasa....?
Au nawewe u a ndoto za kuwa mwanasiasa....,maana wanasiasa huwa vijana hata wakiwa na miaka 50.Toka home bhana.
 
Nimeishia kusoma hapo uliposena una miaka 48 na una mtoto mmoja afu mtoto mwenyewe analelewa na bibi
 
Chai ya juzi
Hili ni janga kwa mzee sio chai, miaka 48 bado anataka aendelee kuishi kwa mzee tena amtegemee kwa kila kitu aibu, thread hizi zinazoletwa humu mara nyingi sio za utani sema uwakilishi wake ndio watu wanadhani ni chai
 
Chai
 
Samahani mkuu, una miaka 48 au 18?
Maana naona umeandika umri wa kustaafu
 
Mwaka jana 2022 ulikuwa na miaka 41 leo 2023 una miaka 48,peleka utoto Facebook
 
Mkuu, unaweza kunipa namba za huyu mzazi nimpongeze kwa hatua aliyochukua?
1. Miaka 48 unataka kustaafia kwenye nyumba ya baba, huu ni upumbavu;
2. Hata wanyama na ndege hufukuza watoto/makinda yao yanapofikia umri wa kujitegemea;
3. Rudi mtaani ukapambane
 
Wewe wa kike au wa kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…