Papaa Mobimba
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 882
- 3,337
KabisaKumbe bado DICTATOR yupo?Yale mazungumzo ya Ikulu ni usanii?
Aliyefanya uamuzi huo ilifaa saahizi asiwepo ofisini🚶Hehe wanawapeleka wapi? wawapeleke ikulu ili kuwa sehemu ya maridhiano na jeshi la polisi waende ikulu
Elimu: Division 4 ya points 32Polisi washamba sana
Wanazidi na wao, nchi haiwezi kwenda kwenda tu bila taarifaKumbe bado DICTATOR yupo?Yale mazungumzo ya Ikulu ni usanii?
Pambalu kwao ni babati? Mbona jezi za chama kazipigilia na wenzie? Hapo ni familia au chama?Tanzania bado tuna safari ndefu sana, na viongozi watafika kwa shetani wakiwa taabani,, sasa kikao cha family nacho kinahitaji kibali kutoka kwa kwa jeshi la kamanda zerro?
Dictator SiroKumbe bado DICTATOR yupo?Yale mazungumzo ya Ikulu ni usanii?
mzimu wake haujaridhika bado unazunguka duniani kupiga patrol... as resultsKumbe bado DICTATOR yupo?Yale mazungumzo ya Ikulu ni usanii?