Nsennah
JF-Expert Member
- Jan 9, 2021
- 1,947
- 1,554
Kama hawatajirekebisha mi naona ccm itawale tu kadri iwezekanavyo. Hakuna chama cha upinzani hapo ni wale wanaovaa ngozi ya chui mbele ya wajumbe / wananchi ila ndani yao ni kama fisi warohoroho tu.Tulia dawa ipenye vizuri wewe zuzu na ndumilakuwili wa siasa, Mama anaupiga mwingi na tunampatia tena mi5, hutaki saga chupa unywe ufe [emoji28]