Nsennah JF-Expert Member Joined Jan 9, 2021 Posts 1,947 Reaction score 1,554 May 26, 2022 #81 Interlacustrine R said: Tulia dawa ipenye vizuri wewe zuzu na ndumilakuwili wa siasa, Mama anaupiga mwingi na tunampatia tena mi5, hutaki saga chupa unywe ufe [emoji28] Click to expand... Kama hawatajirekebisha mi naona ccm itawale tu kadri iwezekanavyo. Hakuna chama cha upinzani hapo ni wale wanaovaa ngozi ya chui mbele ya wajumbe / wananchi ila ndani yao ni kama fisi warohoroho tu.
Interlacustrine R said: Tulia dawa ipenye vizuri wewe zuzu na ndumilakuwili wa siasa, Mama anaupiga mwingi na tunampatia tena mi5, hutaki saga chupa unywe ufe [emoji28] Click to expand... Kama hawatajirekebisha mi naona ccm itawale tu kadri iwezekanavyo. Hakuna chama cha upinzani hapo ni wale wanaovaa ngozi ya chui mbele ya wajumbe / wananchi ila ndani yao ni kama fisi warohoroho tu.