Aisee... So beautiful. Huyu dada Mungu ambariki.View attachment 1200956Mwanamuziki Mkongwe nchini almaarufu kwa jina la Nguza Viking aka Babu Seya amefunga ndoa takatifu leo jijini Dar na Katibu Tawala Wilaya ya Muheza (DAS), Bi Esterine Haule. Tunawatakia kila lakheri, afya njema na maisha marefu zaidi na Mungu akayabariki maisha yao mapya ya Ndoa. #harusi #ndoa #furahayapamoja
Kufanya nini na Ebola yote ile !Congo harudi tena?
Huyo mwanamke nae ni mkongo au kamuokota Kyela?Kufanya nini na Ebola yote ile !
Ajiandae kutoa tatu mzukaKatibu Tawala Alikuwa Mjane Ama Ndiyo Alikosa Mtu Sahihi
Umemaliza MkuuMzee kesi ya babu seya ni complicated kuliko benzane hexane na propane
Amepata tiba au amekula haruaHapa ndipo kina utata
Wakati kesi ya ubakaji ikimkabili, Babu Seya alikuwa na hoja moja aliyoisimamia mpaka mwisho,kwamba hana nguvu za kiume hivyo asingeweza kubaka/kuingilia kimwili.
Leo hii tarehe 6/9/2019 Babu Seya kaoa tena binti mbichi!
Je alikuwa anasema uongo? Je hakumfanya Rais wetu ajiongoze vibaya mpaka kumpa msamaha?alikuwa anasema uongo mahakamani?View attachment 1201070